Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saidia kwanza usihukumu haraka kabla ya kujua undani wote.. Walioumizwa ni wengi walioteswa ni wengi, waliotiwa ulemavu ni wengi, waliopotezwa ni wengi.. Tuko hapa kusaidia huyu mhitaji apate matibabu hatuko hapa kuhoji mbona hajasaidiwa na FulaniKama ni CHADEMA damu damu, CHADEMA imefanya nini kumsaidia?Mbona viongozi wa juu wanasaidiwa kwa nini huyu wamemtupa?
Kama ulivyoeleza hapo juu, inatakiwa atoe taarifa kamilifu wapi pa kuelekeza misaada.Saidia kwanza usihukumu haraka kabla ya kujua undani wote.. Walioumizwa ni wengi walioteswa ni wengi, waliotiwa ulemavu ni wengi, waliopotezwa ni wengi.. Tuko hapa kusaidia huyu mhitaji apate matibabu hatuko hapa kuhoji mbona hajasaidiwa na Fulani
Wabunge wa Ndungai na Magufuri hawa.Hakuna aliyejuu ya Sheria, na jinai haiozi, kipindi Cha Magufuli watu wa CCM walijifanya miungu watu waliweza kuteka, kuua, kulawiti na kukupa kesi za uongo.
Huyu Kingu kipindi Cha Kampeini za ubunge, alipita na msafara wake, basi kutokana na Imani tofauti za kisiasa Kuna mwananchi mmoja akanyosha vidole viwili kumaanisha Chadema.
Basi Kingu aligeuza gari, akiwa na wapambe wa CCM na asikari wakamteka yule baba, aliteswa, pigwa na kulawitiwa, yaani watu wa CCM wanafurahi kutesa, kuteka na kumlawiti mtu.maana hakuna aliyekemea au Kingu mwenyewe kuomba radhi
Huyu baba alipewa kesi ya uhujumu uchumi, wakampa mashariti ili aachiwe, inabidi ajiunge CCM na akiachiwa akae kimya. Ilibidi jamaa ajiunge CCM.
Lakini hadi Leo hawezi simama kumbe walimvunja uti wa mgongo, kuongea kwenyewe anaongea kwa tabu, hayo maelezo sio yangu ni muhusika mwenyewe, video yake imesambaa sana leo kwenye mitandao ya kijamii. Ata kina Lissu na Lema wamepost.
Kingu lazima ashitakiwe kwa kujaribu kuua, kutesa na kulawiti. No one is above the law
INASIKITISHA SANA, NDIO TUMEFIKIA HUKUHuamini
Hata mm walai nitahakisha nayey namzuru vibaya mno sijaona picha ila nikipata ushaid kuwa Ni mbuge ase duh acha tuDuh, na huyo mbunge bado yupo anapita mnamwangalia tu? Ninyi ni wapole sana lakini mimi huwezi kuniumizia ndugu yangu kiasi hiki nikakuacha salama. Nitakuwinda kama ndege popote pale, huu ni unyama siwezi kukuacha salama.
Alijibu hizo tuhuma na Savimbi akamjibuMtuhumiwa yuko huru anakula bata
Unatumia nguvu bila akili,Kadaimondi enzi zile za mwendazake kaliimba wimbo mmoja eti,Hizi zama si za JK bali ni za JPM,na kakasema kwa kibwagizo kikuu ZILIPENDWAAAA,Sasa Kingu anaona bado yuko kwenye zama za magu ha ha ha ha,acha Mama Samiah na Kinana waendelee kuwaibisha.
We jamaa kila MTU MTU abebe mzigo lake na ndiyo sheria ya MunguHata babaye au mamaye, kuna watu hawaelewi through soft methods bali through hardway
Mh! Something smell fishy here, kama alikuwa mgonjwa wa muda mrefu iweje tena aliwahi shambulia msafara wa DC