samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
So hata Ofisini ukinyimwa mshahara usi complain coz bosi akikufanyizia ukatupwa jela Mama Yako ndio atateseka kukutoa?
Don't justify upuuzi, huwezi halalisha uhalifu eti kisa tu Mama Yako ndio atahangaika!! Kwani Mbowe alipowekwa ndani kuna mwana chadema aliingia naye? Au Lissu alivyopigwa risasi kuna mwana Chadema alipigwa naye?
Ukishaamua kuingia kwenye power struggle hizo risk hazikwepeki lakini huwezi justify watu kushindwa kupractice demokrasia eti kisa unaji expose kwenye risk!! Toka lini haki ya kikatiba ikawa risk?
soma vizuri uelewe, kila mtu anajua kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kinyama just kwa kijana kunyoosha tu vidole viwili.... lakini tambua ndio kashaumia tena kwenye ubongo na inayoteseka ni familia pekee tena familia yenye hali ngumu kimaisha..
Point yangu ipo hapa, uharakati sio lazima kila mahala uchukue risk na lazima utambue mazingira na watu unaopambana nao...... siwezi kumzomea au kumuonyesha ishara adui yangu huku nikijua atanidhuru na sina uwezo wa kumzuia lakini pia akiniua kama mwanaharakati nitakuwa nimekufa kizembe, sasa kwanini baadala yake nisivae bomu nikaenda kufa nao wakiwa bungeni? ...
Ni sawa na askari kujisalimisha huku ukijua unaojipelela kwao watakuua tu hakuna lugha ya mateka kwao, sasa kwanini usipigane nawewe ukaua kadhaa ili ukifa unakuwa angalau umetoa msaada..
Huyu jamaa aliyeumizwa huoni ingekuwa faida kwa wanaharakati kama hata angerusha bomu la petrol na kuwaua hao jamaa na jamii ikajua sasa watu wanahasira kuliko.....askari unapokuwa vitani unapaswa kupima matendo yako dhidi ya adui ili usijiexpose adui akakupoteza na kupunguza idadi ya askari...