Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
.Duh, na huyo mbunge bado yupo anapita mnamwangalia tu? Ninyi ni wapole sana lakini mimi huwezi kuniumizia ndugu yangu kiasi hiki nikakuacha salama. Nitakuwinda kama ndege popote pale, huu ni unyama siwezi kukuacha salama.
Mkuu tutupieni picha ya huyo KATILI tumtambuwe...
ukitumia akili kuna mahala utaelewa, sio kila vita unapaswa kujiexpose kwenye risk, kuna wakati lazima ufanye hesabu vizuri kufanikisha unachotaka kufanikisha.... Haya jamaa kaumia anayeteseka ni mama yake tena hali yake kimaisha ndio hivyo tena.
Mtoa mada katuambia si CDM wala CCM anayetoa msaada....kuna wakati lazima ufanye proper calculations kwenye kila hatua za harakati zako sio kwenda kwenda hovyo eti uitwe shujaa.
Mwigulu ni level zingine..sio binadamu yule. Magufuli anasubiri paleOhooo huyu huwa mtu hatari sana zaidi ya Mwigulu
πππ
Duh jamaa ni katili sana !! Hafai kabisa kuitwa eti ni kiongozi !! Sheria ichukue mkondo wake ! Tanzania hatuhitaji ukatili wa namna hiyo katika jamii bado hatujafikia huko !! Mambo ya namna hii yadhibitiwe haraka before it's too late !! Usipoziba UFA utajenga ukuta !!
Kwani Jiwe alikuwa dini gani ?Mbona huyu ni Mkristo,hiyo tabia karithi kutoka kwa nani.
Kazi ya Sirro kwa sasa ni kuhamisha tu Ma RPC wanaomsengenyaJeshi la Polisi na Vyombo vya ulinzi na usalama wananchi wataridhika kama uchunguzi wa tuhuma hizi utafanyika.
Kama ni uongo basi Elibariki asafike kwa hili.
Ni imani yetu tuhuma hizi hazitapuuzwa.
Dini yeyote ile Mara nyingi hutumiwa na watu waovu kujifichia huko na pia kupata mass support ili watimize malengo yao !! For your information hakuna maandiko yeyote kutoka kitabu chochote cha dini yeyote ile kinachoamrisha kufanya ukatili wa aina yeyote ile Kwenda kwa kiumbe chochote kile !! Vitabu vyote vinaamrisha watu kuoneana huruma na kusaidiana !! Mambo mengine yote maovu huwa ni uzushi uzushi tu wa kibinadamu ili wakidhi matakwa yao !! ( rumors is carried by haters ........) !!!Kwani Jiwe alikuwa dini gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu mnooo lol.Mwigulu ni level zingine..sio binadamu yule. Magufuli anasubiri pale