Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Inawezekana aliyempa nae ana matatizo ya akiliHili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mja mzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana uja uzito wake ni mkubwa kabisa.
Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
You can imagine akipata uchungu nani yupo karibu yake amsaidie.
Atajua hata kuwa anakaribia kujifungua??
Atajua hata kuwa mtoto anahitaji kunyonya??
Jamani jamani. Kuna watu wazima kabisa na wanahitaji huduma na sio wendawazimu huu ni zaidi ya unyama.
NyegeziNyeg* nomaa Mzee.
#YNWA
Ila mara nyingi wanaofanya hayo ni watoto wa mtaaani, wanapokutana kwwnye maeneo y kulala ndiyo wanawatia mimba hawa vichaa, hata vitoto vya mtaani vya kike vinajazwa mimba na wenzao na sio mtu wa kawaida.
Huenda ni kichaa mwenzake, au imani za kishirikina. Unaweza kuambiwa na mganga fanya hivyo ili mambo yanyooke. Anavyohangaika na mtoto na wewe mambo yanakuwa sawa kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna kosa kumpelekea moto kiwete🤣🤣🤣🤣🤣 vijana wana laana mpaka viwete wanapelekea moto
Katika Watanzania 4, watatu wana matatizo ya akili
unaonekana mzoefu wa kubaka wewe DP.Mkuu,
Kichwa Cha chini hakina ubongo (akili) brother[emoji4]
Kinaongozwa na uti wa mgongo, ambao kitaalam kazi yake ni kuongoza matendo yasiyo ya hiari.
Hilo la kuloweka kwa chizi nalo halikua hiari yake brother, Ndo maana mwishowe huwa Ni majuto na aibu(ndo maana wakishakojoa wanamkimbia)[emoji4]
Bora hata uyo,
Wengine wanaloweka Hadi kwa mbuzi, kuku, godoro, maiti, sabuni n.k
Juz juz apa tuliskia kesi ya jamaa kampelekea Moto punda jike mpk kafariki, Wee unadhan hapo Kuna akili ilitumika au?
Kwa wanawake kwao Ile kitu inaongozwa na kichwa Cha juu, ubongo.
Ndo maana wao Lazima watafakari Nani wa kumtunuku, Nani wakumnyima.
Akili yake isipokukubali hata hawezi kuloa, utajichosha TU labda umbake[emoji4]