Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

Pengine kapata ukichaa baada ya ujauzito, lakini pia hata walemavu wa akili ni binadamu…. wana haki ya kutafunwa.
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri mambo, chizi anauwezo wa kulea mimba, kwenda clinic, kulea mtoto, kumhudumia na kumpa matunzo?

Kuna watu timamu kibao tu wanalea watoto bila hizo unazoita clinic, achilia mbali matunzo…. na watoto wanakua tu.
 
Wengine akili za nyege, wengine ni masharti ya waganga, pengine ni chizi mwenzie kafanya hivyo.
 
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
Mkuu; Tatizo hilo (kama ni tatizo kweli) linahitaji kuliangalia kwa mapana yake:
1. Je, huyo kichaa hana kwao? i.e. hana wazazi/Walezi au ndugu ? Kwa nini wazazi au walezi na ndugu zake wamlimtelekeza na kumtupia mtaani?
2. Je huyo kichaa; Ukichaa wake ulianza lini- Ukubwani au tangu utotoni? Hapo namkumbuka jamaa pale Moshi mjini (Bus- stendi) ni chizi na wanaomfahamu wanasema alikuwa mzima tu ila alianza ukichaa baada ya kuiba/kudhulumu.
3. Kwa nini Hakuna wenye huruma na mtu huyu? Hapa simaanishi huruma kwa kutompa uja-uzito la hasha. Namaanisha huruma au msaada wa kibinadamu e.g. Hospitali, malazi, n.k. n.k.- Kizuizi hapo ni nini?
4. Wapo waliojitakia Ukichaa kwa HIARI yao wenyewe e.g. Kuwapiga wazazi wao (esp. mama mzazi), Wizi katika maeneo ambako hata Shetani haendi kuiba huko e.g. Makanisani au Misikitini n.k; Uvutaji bangi/madawa ya kulevya, matumizi ya madawa bila kupata na kuzingatia mwongozo wa matumizi yake.
5. Wapo vichaa wa kificho- yaani mtu alitenda kosa fulani e.g. alifanya mauaji na kukimbia. Nafsi yake siku zote inamshtaki na anajua kwamba anafuatiliwa. Afanyeje? Anajipa ukichaa as a Camouflage. Vichaa wengine ni watu wazima sio wagonjwa ki-ukwelii.
 
Kwani asiye na akili hana haki ya kupata mtoto?tujikite zaidi kuangalia namna gani mtoto anaweza kukua kwa afya njema
Hata mimi huwa nashindwa kuelewa wale wanaosema hata huyu kapewa ujauzito kwa kushangaa kwakuwa tu ni mlemavu au ana tatizo fulani.

Watu wanasahau kua hao pia ni binadamu na wanahisia pamoja na mahitaji kama wanayohitaji hao wazima sema tu kwakuwa wao wanakuwa na tatizo au matatizo tofauti na wao.

Mi naona wana haki kama tuliyonayo sisi ila tu shida inakuja kwa pale linapotokea Jambo kama hili malezi ya kiumbe kitakachozaliwa ndio inakuwa mtihani.

Pia kupata maradhi kwakuwa haijulikani anayemwingilia yupo katika hali gani.
Ila mimi huwa naona kichaa akipata mtoto huwa kidogo anakuwa vizuri mana atamuona alivyo bizzy analea na hata ule ukichaa unapungua kidogo.

Kuna mama huku mtaani alipata ujauzito sasa analea anajua kabisa kuomba tena anakwambia nampelekea mwanangu na lazima tu utamsaidia.

Mwanzo kutwa kucha anazunguka lakini sasa kumuona anazunguka hovyo ni nadra muda mwingi anatumia kulea.
Ila sekt afya wanatakiwa waliangalie hili kama ni kichaa wa kike wampatie ile huduma ya uzazi wa mpango ya muda mrefu nadhani itasaidia sana.

Hata ndugu kama nduguyo ni kichaa Tena wakike jitahidi umpeleke hospitali apewe hiyo huduma kuliko kuwa na watoto wasio na baba wala malezi mazuri japo changamoto ni jinsi ya kumpeleka mana wengi wanapoteaga kabisa na kuhamia sehemu nyingine.
Kwenye suala la magonjwa sijui sasa hapo itakuwaje mana hawa watu wako katika risk kubwa kama kungekuwa na chanjo ingebidi wapewe kipaumbele.
 
Ndugu hujui hata hao wendawazi wanataka wenyewe wapelekewe moto, kuna mmoja yupo stand ya fluni ya mabasi akiwa na hamu atakusumbua mpaka ukampe anachohotaji
Wewe umeshawahi mla sio
 
Kwenye uzi wa kula kimasikhara kuna jamaa alileta kisa jinsi alivyomla kichaa japo yule kichaa alitoweka maeneo yale. Mwingine naye akafunguka jinsi alivyomla nguruwe.

Hakuna ukomo wa matendo ya huyu Homo Sapiens - kiumbe mwenye "akili" sana!
Ule uzi unaweza kunipa link niusldhibitishe
 
Jamaa anaitwa Juma P Maharage[emoji28]




Post yake hii hapa



Booooh boooh yani kiulaini sanaa huu uzi unatibu malazi mengi sana kwa hiyo dawa iongezeke

Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi wilaya fulani morogoro uko ndanii sana kwanza nilipofika sikuamini kama kule ni moro ,nilijua dar moro karibu alafu weekend bata batani dsm weeh nilichoka kwanza ilichukua masaa 12 kufika tuuh ,yani nilitamani nilie mazingira ovyoo sana alafu ilikuwa masika barabara mbovuu kishenzi

Kesho nikaripoti job kishingo upande sana ,wakanionesha mazingira kwa kuwa nilifikia guest ,kuna jamaa akaniambia tukakae geto kwangu kwanza kipindi unacheki mazingira ya kupata nyumba daah nikasema poa tulivyotoka job tukaenda mpka alipokuwa anaishi nikaoga nin jioni misele kama kawaida kitaa lakin mazingira ovyoo ayakunishawishi kabisa

Weekend mi uwa napenda kutoka yani club kama kawa si unajua ukizoea mambo ya chuo nin mitoko kama kawa ,akanipeleka pande fulani bush bush madem ovyoo niliboreka saa 5 tukarudi geto yani nilikonda kishenzi .Ikapita miezi kadhaa nikanunua vitu nikaamia kwangu na kazi ikawa inaendelea

Kuna siku moja mchana nikaenda bank kucheki salary mdogo mdogo sina habari mala napigwa bonge la ngumi la mgongo mmamae nilimind kugeuka nijibu mapigo kucheki kumbe mdada, ila anaonekana kama chizi chizi na gunia lake alafu ana fimbo sasa nikasimama saa ngapi fimbo ilo nikatoka nduki nikaingia bank kwa kuwa haikuwa mbali na pale bank.Nikaingia bank nikacheki balance zangu nikasepa sasa natoka askari akaniambia yule kichaa anakusubiria pale pita kwa uku mkwepe mhmh nikamjibu hapana ngoja nimpe chochote labda anashida .Kweli nafika pale nikatoa noti ya elfu 10 nikampa alifurahi aliruka ruka kagala gala mi nikasepa zangu

Sasa nikajiuliza uyu kichaa niaje mbona ana cheza pale karibu na bank na awamfukuzi aaah buushit nikapotezea .Bana bana toka siku ile akiniona ananikimbilia mpaka uwa namkwepa ,kuna siku tunapita na mshikaji usiku saa 2 kakusanya kuni kawasha moto nikajificha kwa mshikaji saa ngapi asinione alinirukia akatoa ndizi mfukon akanipa , nikampa elf 2 alifurah sis tukasepa njiani mi nikamenya ile ndizi nakula mshkaji alicheka yani we unakula uchafu uyo anaokota dampo kule mi nakutana nae kila siku .Tukaachana mi nikaenda home ,kumbe bana yule kichaa anatufata nyuma nyuma akajua napoishi sas ndio ilikuwa kero nikiludi job yupo nje ya getin ananiita mpenz wangu mwaaah anakimbia.

Weekend moja tukaenda bush part na jamaa angu kulikuwa na kipaimara alialikwa,tulipiga pombe sana dadeki niko chakari sanaa kufika saa 7 nikamwambia aisee jomba twende hom .Kule job kuna mdada nilikuwa namind sema akawa analeta mizinguo ooh mpaka unioe alikuwa anakujaga hom mala moja moja .Ile tunaludi mshikaji akaniambia leo umelewa sana aisee mpaka unayumba utafika hom kweli , nikamjibu nifikishe mpaka pale kwenye njia ya hom alafu we uludi , jamaa akanifikisha pale mi mdogo mdogo mala nashikwa mkono mpenzi wangu kugeuka yule kichaa, nikajikwaa nataka kuanguka akanidaka uku namsikia kwa mbali leo una nin mpenz jamani akanikokota mpaka hom nikafungua mlango yey akabaki nje uku mlango sijafunga mi kwenye kochi tiii .Sasa nikastuka nikaenda kufunga mlango nikamkuta akaniambia unanifungia mpenzi sasa na pombe nikamwambia ingia.Mala nikapepesuka nikampalamia wote chini ,ile chini pale joto joto la mwili tukagusana nikaona alaah na tungi mmboo hiyo nikamgusa chuchu ana cheka cheka tuuh nikapandisha gauni juu alafu lilikuwa chafu kishenzi navuta chupi akanishika mkono mhmh mhmh usifanye hivyo ,mi nikaendelea tukavutana nika win chupi kulee sas akabana mapaja nilishangaa alikuwa na nguvu sana ,si unajua wa jando tunajua wapi pakugusa mapaja yaachie akaguswa sehem 3 ngumu napanua tena nikakuta pwaaa mi uyo alikuwa na vvuzi dadeki ila nikapeleka mmboo ikakubali aisee kchaa kilitulia mbona

Dadeki alinikaba shingoni kwa nguvu mpaka pombe iliniisha ,baadae akatulia na mim nikajikamua lile bao lilikuwa zitoo sana nilihema ile naegemea kochi usingizi pale pale .Nastuka asubuhi lile dem la job linaniita nacheki pembeni hamna mtu kumbukumbu zina nijia dadeki nilijutia nikawaza uyu dem akumwona kweli .Nikaeka mazingira fresh lile dem likaingia tukapiga story mpaka mchana akasepa .Juma3 job jamaa akanivuta pembeni akasema jana umefanyaje sas nauliza kwa nin ,akajibu nanii kamwambia dem wangu, kafika kwako kamkuta yule kichaa ana toka ndani kwako alafu kavaa shati lako

Iliniuma kwa sababu ilienea sana kazini yani niloona bonge la noma ,Ila nikajiuliza maana machache nakumbuka alivaa chupi alafu ndani akuwa ovyo kama nilivyofikiria .Ikapita wiki 3 jamaa akaniambia mbona yule chizi simuoni tena shem wangu yule nilimind sema utani nin.Nikamwambia lakini mtam yani jamaa akasema tukitoka twende tukamcheki ,tulivyofika pale hamna uchafu wala nin tukawauliza wale maaskari wakasema ana karibia mwezi hawajamuona tena pale.

Wazee hii itaendelea.................. hofu itakuwa ndefu mnoo maana kuna kisa kingine mbelee yake xoooooo stay waiiiiiiiiit

Mr jjjjjjjj
Huyu mwamba alitisha sana. Hata kama ni pombe duh!
 
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
  • You can imagine akipata uchungu nani yupo karibu yake amsaidie?
  • Atajua hata kuwa anakaribia kujifungua?
  • Atajua hata kuwa mtoto anahitaji kunyonya?
Jamani jamani. Kuna watu wazima kabisa na wanahitaji huduma na sio wendawazimu huu ni zaidi ya unyama.

ukisikia wanawake wanasema wanaume wote ni mbwa hawamaanishi mbwa wa kubweka ni kama huu '' man https://jamii.app/JFUserGuide almost everything tha moves''
 
Back
Top Bottom