Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

Watu wanafumua mbususu ya mbuzi, kitimoto...wewe unashangaa kichaa kuwa na mimba!!!

Kuna raia wamepinda...
Mkuu usiniambie kuwa huwa tunafanya mboga wapenzi wa watu??
 
1. Inawezekana aliyempa nae ana matatizo ya akili
2. Kichwa cha chini sometimes huwa kina maamuzi yake
 
Muda mwingine hua wanapeane wenyewe kwa wenyewe...
 
Ila mara nyingi wanaofanya hayo ni watoto wa mtaaani, wanapokutana kwwnye maeneo y kulala ndiyo wanawatia mimba hawa vichaa, hata vitoto vya mtaani vya kike vinajazwa mimba na wenzao na sio mtu wa kawaida.

Mwenye v8 atashindwa kupitanae?
 
Hakuna kosa hapo nae anasikia utamu huwezi jua huyo mtoto akaja kumkomboa
 
Usiwanyanyapae aisee, kuchikuchi ni haki ya msingi, tusibaguane.
Aluyempa mimba ajengewe mnara kwa kuondoa unyanyasaji wa kimaumbile

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
unaonekana mzoefu wa kubaka wewe DP.

Tuseme shida huwa ni nini.

lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…