Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

Pengine kapata ukichaa baada ya ujauzito, lakini pia hata walemavu wa akili ni binadamu…. wana haki ya kutafunwa.
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri mambo, chizi anauwezo wa kulea mimba, kwenda clinic, kulea mtoto, kumhudumia na kumpa matunzo?

Kuna watu timamu kibao tu wanalea watoto bila hizo unazoita clinic, achilia mbali matunzo…. na watoto wanakua tu.
 
Wengine akili za nyege, wengine ni masharti ya waganga, pengine ni chizi mwenzie kafanya hivyo.
 
Mkuu; Tatizo hilo (kama ni tatizo kweli) linahitaji kuliangalia kwa mapana yake:
1. Je, huyo kichaa hana kwao? i.e. hana wazazi/Walezi au ndugu ? Kwa nini wazazi au walezi na ndugu zake wamlimtelekeza na kumtupia mtaani?
2. Je huyo kichaa; Ukichaa wake ulianza lini- Ukubwani au tangu utotoni? Hapo namkumbuka jamaa pale Moshi mjini (Bus- stendi) ni chizi na wanaomfahamu wanasema alikuwa mzima tu ila alianza ukichaa baada ya kuiba/kudhulumu.
3. Kwa nini Hakuna wenye huruma na mtu huyu? Hapa simaanishi huruma kwa kutompa uja-uzito la hasha. Namaanisha huruma au msaada wa kibinadamu e.g. Hospitali, malazi, n.k. n.k.- Kizuizi hapo ni nini?
4. Wapo waliojitakia Ukichaa kwa HIARI yao wenyewe e.g. Kuwapiga wazazi wao (esp. mama mzazi), Wizi katika maeneo ambako hata Shetani haendi kuiba huko e.g. Makanisani au Misikitini n.k; Uvutaji bangi/madawa ya kulevya, matumizi ya madawa bila kupata na kuzingatia mwongozo wa matumizi yake.
5. Wapo vichaa wa kificho- yaani mtu alitenda kosa fulani e.g. alifanya mauaji na kukimbia. Nafsi yake siku zote inamshtaki na anajua kwamba anafuatiliwa. Afanyeje? Anajipa ukichaa as a Camouflage. Vichaa wengine ni watu wazima sio wagonjwa ki-ukwelii.
 
Kwani asiye na akili hana haki ya kupata mtoto?tujikite zaidi kuangalia namna gani mtoto anaweza kukua kwa afya njema
Hata mimi huwa nashindwa kuelewa wale wanaosema hata huyu kapewa ujauzito kwa kushangaa kwakuwa tu ni mlemavu au ana tatizo fulani.

Watu wanasahau kua hao pia ni binadamu na wanahisia pamoja na mahitaji kama wanayohitaji hao wazima sema tu kwakuwa wao wanakuwa na tatizo au matatizo tofauti na wao.

Mi naona wana haki kama tuliyonayo sisi ila tu shida inakuja kwa pale linapotokea Jambo kama hili malezi ya kiumbe kitakachozaliwa ndio inakuwa mtihani.

Pia kupata maradhi kwakuwa haijulikani anayemwingilia yupo katika hali gani.
Ila mimi huwa naona kichaa akipata mtoto huwa kidogo anakuwa vizuri mana atamuona alivyo bizzy analea na hata ule ukichaa unapungua kidogo.

Kuna mama huku mtaani alipata ujauzito sasa analea anajua kabisa kuomba tena anakwambia nampelekea mwanangu na lazima tu utamsaidia.

Mwanzo kutwa kucha anazunguka lakini sasa kumuona anazunguka hovyo ni nadra muda mwingi anatumia kulea.
Ila sekt afya wanatakiwa waliangalie hili kama ni kichaa wa kike wampatie ile huduma ya uzazi wa mpango ya muda mrefu nadhani itasaidia sana.

Hata ndugu kama nduguyo ni kichaa Tena wakike jitahidi umpeleke hospitali apewe hiyo huduma kuliko kuwa na watoto wasio na baba wala malezi mazuri japo changamoto ni jinsi ya kumpeleka mana wengi wanapoteaga kabisa na kuhamia sehemu nyingine.
Kwenye suala la magonjwa sijui sasa hapo itakuwaje mana hawa watu wako katika risk kubwa kama kungekuwa na chanjo ingebidi wapewe kipaumbele.
 
Ndugu hujui hata hao wendawazi wanataka wenyewe wapelekewe moto, kuna mmoja yupo stand ya fluni ya mabasi akiwa na hamu atakusumbua mpaka ukampe anachohotaji
Wewe umeshawahi mla sio
 
Kwenye uzi wa kula kimasikhara kuna jamaa alileta kisa jinsi alivyomla kichaa japo yule kichaa alitoweka maeneo yale. Mwingine naye akafunguka jinsi alivyomla nguruwe.

Hakuna ukomo wa matendo ya huyu Homo Sapiens - kiumbe mwenye "akili" sana!
Ule uzi unaweza kunipa link niusldhibitishe
 
Huyu mwamba alitisha sana. Hata kama ni pombe duh!
 
ukisikia wanawake wanasema wanaume wote ni mbwa hawamaanishi mbwa wa kubweka ni kama huu '' man https://jamii.app/JFUserGuide almost everything tha moves''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…