Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz