Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Assad tatizo lake alijiepusha na Iran bada ya kudanganywa na UAE na Saud Arabi, we hujui game ilio chezwa. Syria alifukuzwa katika Arab Legue sababu ya kuwa karibu na Iran. Walipo mshambulia mara ya kwanza Iran na Hezbullah walikuwa wanampa support. Alipo danganywa na warabu awachane na Iran ili warabu wampe support alitegemea hao warabu ndio watamlinda na Mrusi alimuambia Turkey hawezi kuwachia Rebels kuingia Syria. Kumbe Warabu na Turkey wanamsubiria awe mbali na Iran. Walipo anza wa Iran kuondoka Syria na Hezbullah ili Bashari arudi kwenye Arab Legue wakampokea na kujifanya wanampenda kumbe wanajianda, na yeye akawa anamini vita ndio basi tena sababu walio wasupport hao rebels mwanzo, wakajidai hawata wapa support Rebels, kumbe wanamlia timingi. Wakati Rebels wananza kushambulia, wakamuambia achague mawili, kufa au apewe chance ya kukimbia , Assad akatoa amri majeshi yake wasipigane, ili yeye awachiwe kukimbia. Fatilia wakati wa Rebels wameanza kuvamia Syria jeshi la Syria lilikuwa kimya hakuna uju.be kutoka Ministry of defence au chief of staff au kwa huyo Commander in chief. Vipi jeshi litapigana hapo.Assad alipokimbia nchi
Wasyria walioko ndani ya nchi na sehemu tofauti duniani wallshangilia sana
Huo ndio mchezo ulio chezwa.