kwan ww ni nabii mpk upate uono wa mbele , kwa bongo yule jamaa alikuwa kanyoka s, hana konaHapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan ww ni nabii mpk upate uono wa mbele , kwa bongo yule jamaa alikuwa kanyoka s, hana konaHapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Hiko kichwa Umeumbwa nacho ili kufikiri sio kwa ajili ya kutenganisha hayo MASIKIO.kwan ww ni nabii mpk upate uono wa mbele , kwa bongo yule jamaa alikuwa kanyoka s, hana kona
Na nani?!Unataka kuanzisha ugomvi
Mimi mwenyewe nikiwa kama kiongozi wa familia ninautu na familia yangu na majirani wanao nizunguka,hao wengine wanajijua wenyewe.Kiongozi gani hapa Duniani mwenye utu unayemjua wewe?
Una buku nikupe jero hapo? Kuna watu wanaamini hizo torture chamber zipo Syria tu huko ,laiti wangejua hakuna narudia tena hakuna nchi duniani haina hizo mambo ila kuna kuzidiana tuHizi ni propaganda za kunchafua. Tochering chamber zipo duniani kote of different scales. Mpaka Kuna zingine wanafunga mamba unatupwa unaliwa while alive.
Hivyo hakuna jipya
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz
🖕🖕Tatizo la wapuuzi kama ninyi ni kuwa kama malaya wa kona bar ,kila uume mnameza tu .
Hamna akili ya kukaa na kutafakari na kutafiti mambo kwa kina ,kila takataka ya mainstream media mnameza ninyi
Malaya WA kona bar msiokuwa na akili timamu , takataka kabisa ninyi.
Ninyi ndio mlipoambiwa na cnn ,bbc ,Netanyahu ,bush ,Blair na Collin powel kwamba Saadam ni mass murderer ,mfadhili wa ugaidi ,biggest human rights violator na ana silaha za maangamizi ,ili kujustify uvamizi wa Iraq kwa agenda zao ,mkameza na kukubalia nao , hivyo hivyo kwa Afghanistan ,Hivyo hivyo kwa Gadaafi .
Genocide inayofanyika Gaza ni hivyo hivyo ,watu wanakuwa slaughtered kama kumbikumbi ,innocent civilians na wanapachikwa kuna la magaidi na bado mnameza tu .
Pumbavu muwe mnatumia akili kufikiri taahira ninyi na si kushinda tiktok na cnn .
Kama unaona ni rahisi kuongoza taifa linalofanyika figisu za ugaidi wa ISIS ,Alqaida ,Alnusra na uasi kila kona na hujuma za kila aina kwa miaka karibia ishirini sasa ,nenda wewe ukachukue nafasi ya Asad sasa tukuone umahiri wako
Takataka kabisa hawa ,na hao washenzi na regimes zao wanapewa nobel prizes kabisa na hii misukule inasherehekea na kukenua meno kama mbwa dume mwenye ugwadu wa mwaka mzima ,mbwa sana hiziDuh MSM Wakiamua jambo utachafuka vibaya. Assad anaelalamikiwa kuua watu maelfu Wala hajawazidi Bush, Blair na Obama waliouwa mamilioni ya raia huko ugenini kati ya mwaka 2001-2011.lakini hakuna anayesema.
Wapumzishe baba matusi ni mazitoTakataka kabisa hawa ,na hao washenzi na regimes zao wanapewa nobel prizes kabisa na hii misukule inasherehekea na kukenua meno kama mbwa dume mwenye ugwadu wa mwaka mzima ,mbwa sana hizi
Pengine alifanya.Hapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz
Alikua anaelekea huko na lazima angefanyaHapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Jela za kuwatesa wananchi wako wewe unaona ni sawa acha ujingaHakuna nchi yoyote Duniani isiyokuwa na jela na kikosi cha mauaji, hakuna.
Narudia tena!, kila nchi inazo hizi jela...
Mfano; Israel ina jela maalum kwa ajili ya kuwatesa wapalestina, na hii ni miaka na miaka ipo. Fuatilia kinachoendelea Guantanamo uone ukatili uliopo...
Kinachofanyika sasa ni propaganda za The matrix, wanakuchagulia kile unachopaswa kusikia na siyo kile usichopaswa kusikia yaani unakuwa brain washed na hii ndiyo nguvu ya The matrix kupitia stream media.
Kinachoendelea pale Syria kwa sasa ndo kama ngoma bado mbichi, hakuna amani itakayopatikana pale. USA ataendelea kujichotea mafuta pale kuliko ilivyokuwa hapo awali...
Assad alipokimbia nchiMtoa mada ni mfuasi wa moosa nyumba 1=3 haoni ya Israel, jela zza Israel ni kuliko hayo, we huoni mpaa mbwa analazimishwa amuingilie mwanaume, taifa la mungu wa kikristo noma sana. Mungu gani anaye ruhusu ushoga, uwaji hio ya Bashar haifiki hata 5% ya jela za Israel.
Hakuna rais katiki kutokea Tanzania kama yule anayemfuata kwa mbali ni chura kiziwi msaidizi wakekwan ww ni nabii mpk upate uono wa mbele , kwa bongo yule jamaa alikuwa kanyoka s, hana kona