Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gafafi alikuwa dictator katili pengine kuliko Assad alistahili mwisho uleYaani Mimi hata Gadaf Huwa nawashangaa sana wanaosema alionewa. Hawa madikteta ni makatiri sana .
Sijui.Wakina Ben Saanane kwani walifanywaje na utawala dhalimu?
Kabisa, nakazia.Hapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Watawala wanapenda hilo andiko balaa!Maandiko ya kwenye vitabu vya wagalatia,warumi.,wakolintho .,waebrania ,wathesalonike ,na vitabu vingine kama Hivyo si ya kuchukulia seriously sana
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz
Biblia inaagizaa waumini watii mamlaka kama sehemu ya kudumisha amani na utaratibu wa kijamii. Lakini kuna mifano mingi katika maandiko ambayo watu walikataa kutii mamlaka za kibinadamu zilizokwenda kinyume na mapenzi ya Mungu, kama vile Danieli, Petro, na Paulo.Je, haijapata kuandikwa ya kwamba mamlaka zote hutoka kwa Muumba? Tena andiko lile hali-categorize ila lataja tu mamlaka bila sifa za ziada?
Tusemeje sasa? Kwamba, andiko lile ni questionable? Kwamba, halimaanishi mamlaka hizi tunazozifahamu? Kwamba, halimaanishi Muumba huyu anayejulikana? Au tusemeje?
Kiongozi gani hapa Duniani mwenye utu unayemjua wewe?Hata Putin aliyesema amempa hifadhi za kibinadamu naye ni mnyama kama Assad anampaje shetani hifadhi kama na yeye siyo shetani?.
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu mpaka wanakuwa tambarare [flat] kama chapati.
Ukatili wa Assad umepitiliza kabisa viwango vyote vya ukatili duniani.
Utamlazaje binadamu mwenzio kwenye limashine la kugandamiza halafu unamgandamiza anakuwa kama pancake?
Kwa kweli siwalaumu hata kidogo wale watu walioenda kulichoma moto kaburi la baba yake na Bashar.
Sikuwahi kuwaza huyo daktari wa macho alikuwa ni katili kiasi hicho.
Na siku akija kupatikana halafu na yeye pamoja na familia yake wakagandamizwa na hilo hilo limashine lao, wala sitajawa na huruma yoyote ile.
View: https://youtu.be/-V6fPXr32qo?si=dHG5TVdmJY2ikR58
View: https://youtu.be/5ictvq6r2N4?si=mbpzbZjiVfclVfjz
Hata mm huwa nawa shangaa kwa kweli. Hawa watu ni hatari sana. Hawana huruma na uhai wa mtu yeyote anaepishana nao kimtazamo au kidiniYaani Mimi hata Gadaf Huwa nawashangaa sana wanaosema alionewa. Hawa madikteta ni makatiri sana .
Kanusha kwa utetezi thabiti kwamba Al Assad alionewa.Unachekesha
Jamaa lilikuwa katili sana!Nafurahi sana unapoleta mada na kuweka Ushahidi ili wale mamluki wa Kiarabu wanaoamini siku zote kuwa Waarabu na Waislam wanaonewa wakose vya kusema
Ujue Wazungu wana akili sana na hawakurupuki, wanafanya Investigation ya Uhakika
Mimi niliumizwa sana walipouawa watoto wa Sadam Hussein akina Quday Hussein
La Haula, kuja kuona clips zake alichokuwa anawafanyia wananchi wa Iraq ni zaidi ya Ushetani
Huyu Assad naye ni Dictator muuaji kabisa
Unataka kuanzisha ugomviHapa kwetu bila Mungu kuamua ugomvi yule mtu angeweza fanya haya.
Hili ni swali gumu kwa wafia diniJe, haijapata kuandikwa ya kwamba mamlaka zote hutoka kwa Muumba? Tena andiko lile hali-categorize ila lataja tu mamlaka bila sifa za ziada?
Tusemeje sasa? Kwamba, andiko lile ni questionable? Kwamba, halimaanishi mamlaka hizi tunazozifahamu? Kwamba, halimaanishi Muumba huyu anayejulikana? Au tusemeje?
Hakika, Inasikitisha sana wapinzani kupotezwa na kuuwawa kwa sababu ya madaraka tuMadikteta na wale wanaojiitaga wajamaa ni makatili kuliko kawaida maana Huwa wanalinda madaraka Kwa gharama kubwa ya Ukatili wa ubinadamu.