Ukatili wa Bashar-Al-Assad ni wa kiwango kingine kabisa!

Maelezo kwa ufupi juu ya clip ikionyesha wanajeshi katili wakiua raia

Assad ni mshenzi...
 
Mungu ni mwema sana. Hawa vijana waliojitoa uhai na kuhakikisha Assad anakimbia ni watu wa Pekee sana.
 
Naikumbuka hii clip. Assad alikuwa shetani on Earth
 
hii inatukumbusha watanzania tusijaribu kukosea kuwapa nchi wapinzani mambo kama haya tutayashudia kwani tutapoteza amani tulionayo hadi sasa
 
Mamlaka zote ziko chini yake hata hao wenye mamlaka, hata zikiwa mbaya ataziruhusu ila Zina kikomo.
 
Madikteta na wale wanaojiitaga wajamaa ni makatili kuliko kawaida maana Huwa wanalinda madaraka Kwa gharama kubwa ya Ukatili wa ubinadamu.
 
Hakuna nchi yoyote Duniani isiyokuwa na jela na kikosi cha mauaji, hakuna.
Narudia tena!, kila nchi inazo hizi jela...

Mfano; Israel ina jela maalum kwa ajili ya kuwatesa wapalestina, na hii ni miaka na miaka ipo. Fuatilia kinachoendelea Guantanamo uone ukatili uliopo...
Kinachofanyika sasa ni propaganda za The matrix, wanakuchagulia kile unachopaswa kusikia na siyo kile usichopaswa kusikia yaani unakuwa brain washed na hii ndiyo nguvu ya The matrix kupitia stream media.
Kinachoendelea pale Syria kwa sasa ndo kama ngoma bado mbichi, hakuna amani itakayopatikana pale. USA ataendelea kujichotea mafuta pale kuliko ilivyokuwa hapo awali...
 
Maandiko ya kwenye vitabu vya wagalatia,warumi.,wakolintho .,waebrania ,wathesalonike ,na vitabu vingine kama Hivyo si ya kuchukulia seriously sana
 
Nchi zote Zina Ukatili ila unafuu uko kwenye Nchi za kidemokrasia.

Assad alitesa na kuua watu 60,000
 
Ninachokiamini hakuna dikteta anayedumu wananchi wakiamua kweli kweli kumtoa.

Huyo mshenzi tangu 2011 Arab spring ilipopita alipona pona ila watu hawakuchoka sasa kang'olewa na kukimbilia uhamiashoni

Watu wakichoka hakuna jeshi, polisi,usalama wa taifa wala chombo chochote cha kuwazuia.

Saa hizi yuko Russia aliokuwa anawatuma watu wamewamaliza wengine hata hajui walipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…