Ukatili wa Bashar-Al-Assad ni wa kiwango kingine kabisa!

Hizi ni propaganda za kunchafua. Tochering chamber zipo duniani kote of different scales. Mpaka Kuna zingine wanafunga mamba unatupwa unaliwa while alive.

Hivyo hakuna jipya
Una buku nikupe jero hapo? Kuna watu wanaamini hizo torture chamber zipo Syria tu huko ,laiti wangejua hakuna narudia tena hakuna nchi duniani haina hizo mambo ila kuna kuzidiana tu
 
Tatizo la wapuuzi kama ninyi ni kuwa kama malaya wa kona bar ,kila uume mnameza tu .
Hamna akili ya kukaa na kutafakari na kutafiti mambo kwa kina ,kila takataka ya mainstream media mnameza ninyi
Malaya WA kona bar msiokuwa na akili timamu , takataka kabisa ninyi.
Ninyi ndio mlipoambiwa na cnn ,bbc ,Netanyahu ,bush ,Blair na Collin powel kwamba Saadam ni mass murderer ,mfadhili wa ugaidi ,biggest human rights violator na ana silaha za maangamizi ,ili kujustify uvamizi wa Iraq kwa agenda zao ,mkameza na kukubalia nao , hivyo hivyo kwa Afghanistan ,Hivyo hivyo kwa Gadaafi .
Genocide inayofanyika Gaza ni hivyo hivyo ,watu wanakuwa slaughtered kama kumbikumbi ,innocent civilians na wanapachikwa kuna la magaidi na bado mnameza tu .
Pumbavu muwe mnatumia akili kufikiri taahira ninyi na si kushinda tiktok na cnn .

Kama unaona ni rahisi kuongoza taifa linalofanyiwa figisu za ugaidi wa ISIS ,Alqaida ,Alnusra na uasi kila kona na hujuma za kila aina toka kwa mataifa ya magharibi na hata mataifa jirani kwa miaka karibia ishirini sasa ,nenda wewe ukachukue nafasi ya Asad sasa tukuone umahiri wako
 
🖕🖕
 
Duh MSM Wakiamua jambo utachafuka vibaya. Assad anaelalamikiwa kuua watu maelfu Wala hajawazidi Bush, Blair na Obama waliouwa mamilioni ya raia huko ugenini kati ya mwaka 2001-2011.lakini hakuna anayesema.
 
Duh MSM Wakiamua jambo utachafuka vibaya. Assad anaelalamikiwa kuua watu maelfu Wala hajawazidi Bush, Blair na Obama waliouwa mamilioni ya raia huko ugenini kati ya mwaka 2001-2011.lakini hakuna anayesema.
Takataka kabisa hawa ,na hao washenzi na regimes zao wanapewa nobel prizes kabisa na hii misukule inasherehekea na kukenua meno kama mbwa dume mwenye ugwadu wa mwaka mzima ,mbwa sana hizi
 
Takataka kabisa hawa ,na hao washenzi na regimes zao wanapewa nobel prizes kabisa na hii misukule inasherehekea na kukenua meno kama mbwa dume mwenye ugwadu wa mwaka mzima ,mbwa sana hizi
Wapumzishe baba matusi ni mazito
 

Assad alikuwa katili sana
 
Jela za kuwatesa wananchi wako wewe unaona ni sawa acha ujinga
Mifano uliyotelewa ya israel ni kwa ajili ya foreigner
Guantanamo ni kwa ajili ya foreigner na sio raia wa marekani hakuna rais wa marekani aliyefungwa guantanamo
 
Assad alipokimbia nchi
Wasyria walioko ndani ya nchi na sehemu tofauti duniani wallshangilia sana
 
Yeah

Unakaribia ushenzi wa western kule drc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…