Ukatili wa Bashar-Al-Assad ni wa kiwango kingine kabisa!

Assad alipokimbia nchi
Wasyria walioko ndani ya nchi na sehemu tofauti duniani wallshangilia sana
Assad tatizo lake alijiepusha na Iran bada ya kudanganywa na UAE na Saud Arabi, we hujui game ilio chezwa. Syria alifukuzwa katika Arab Legue sababu ya kuwa karibu na Iran. Walipo mshambulia mara ya kwanza Iran na Hezbullah walikuwa wanampa support. Alipo danganywa na warabu awachane na Iran ili warabu wampe support alitegemea hao warabu ndio watamlinda na Mrusi alimuambia Turkey hawezi kuwachia Rebels kuingia Syria. Kumbe Warabu na Turkey wanamsubiria awe mbali na Iran. Walipo anza wa Iran kuondoka Syria na Hezbullah ili Bashari arudi kwenye Arab Legue wakampokea na kujifanya wanampenda kumbe wanajianda, na yeye akawa anamini vita ndio basi tena sababu walio wasupport hao rebels mwanzo, wakajidai hawata wapa support Rebels, kumbe wanamlia timingi. Wakati Rebels wananza kushambulia, wakamuambia achague mawili, kufa au apewe chance ya kukimbia , Assad akatoa amri majeshi yake wasipigane, ili yeye awachiwe kukimbia. Fatilia wakati wa Rebels wameanza kuvamia Syria jeshi la Syria lilikuwa kimya hakuna uju.be kutoka Ministry of defence au chief of staff au kwa huyo Commander in chief. Vipi jeshi litapigana hapo.

Huo ndio mchezo ulio chezwa.
 
Putin kampokea.
 
Terrible!
 
Mbona hiyo mashine haina hata matone ya damu imejaa tu vumbi maana haiwwezekani mashine iwe inakandamiza watu halafu haina hata mabaki ya nyamanyama na damu
 
Hizi ni propaganda za kunchafua. Tochering chamber zipo duniani kote of different scales. Mpaka Kuna zingine wanafunga mamba unatupwa unaliwa while alive.

Hivyo hakuna jipya
Watu wanachagua linalowapendeza
Huyu mtoa mada aje aeleze mateso wanayopewa wafungwa wa Abu ghureib na Guantanamo bay
 
Kama Guantanamo ya Bush
 
Jela za kuwatesa wananchi wako wewe unaona ni sawa acha ujinga
Mifano uliyotelewa ya israel ni kwa ajili ya foreigner
Guantanamo ni kwa ajili ya foreigner na sio raia wa marekani hakuna rais wa marekani aliyefungwa guantanamo
Foreigner sio mtu
Hana haki
Kwa hiyo ikitokea umekamatwa ukapelekwa Kenya utaridhia ukifanyiwa unyama sababu ww ni mgeni
 
Hiko kichwa Umeumbwa nacho ili kufikiri sio kwa ajili ya kutenganisha hayo MASIKIO.
kufikiri na kutabiri ni vitu viwili tofaut , kusema mtu ataua watu huko mbelei huko sio kufikiri bali ni kutabiri
 
Hapishani sana na ukatili wa Bush kule Guantanamo.
 
Wavaa Kobazi Bado hawataamini
 
Sio mamlaka zote hutoka kwa muumba maana wachawi, magaidi, wahuni pia wana mamlaka zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…