Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Lipumba hajawahi kushinda uchaguzi wowote toka kuzaliwa kwake
 
Hilo litakuwa pigo kubwa sana kwa chama cha kifisadi,ccm.
Itawabidi ccm nao kushirikiana na UDP,TLP,ACT,ADC,TADEA etc
Hongereni sana UKAWA.Endeleeni hivyohivyo.

Heeeeeeeeeeeeeeeheeeeeeeee chimpumu nini?
 

Hawakebehi ndugu yangu wanawaelewa hao ni akina chale mnene chale mwemba na mr bin hawanakitu hawa wewe unaona ndio watakaoleta mustakabali mwea?
 

punguza miadarati
 
Mwenyekiti mweza wa ukawa pr ibrahimu lipumba ametangaza kusimamish mgombea mmoja wa urais mwaka 2015.pr lipumba ametangaza hayo akiwa anawahutubia maelu ya watu mkoani mtwara
Ukawa hata wakikalisha mgombea mmoja yaleyale achilia mbali kusimamisha mgombea mmoja.
 
Salaam!

Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!

Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.

Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!

Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk

KARIBUNI SANA!


=====================
UPDATES!
=====================

BREAKING NEWS!

MODS! NAOMBENI FUTENI HUU UZI MAANA UMESHAHARIBIKA!

NAHISI KUNA VIJANA HUMU NDANI WANA MKAKATI MAALUM WA KUWAKIMBIZA WATU WENYE FIKRA FIKIRISHI HUMU NDANI!

HILO KUNDI NI DOGO SANA HAWAFIKI HATA WATANO, LAKINI KWA UJIRA WA B7 TU WANATEKELEZA HUO MKAKATI WAO!

AHSANTENI SANA MODS!
 
Kwangu mimi bado sioni kama kunakitu pale make wote wale ni watoa habari wa watu wengine ,mbatia alishajiunga na kambi ya lowasa,lipumba ndiyo usiseme wakati malimu anapigania maslahi ya sultani,mbowe naye kila mtu anajua kuwa yeye anafanya biashara ndani ya chama.
 

Mkija kumaliza kuhongana Dodoma mtakuta nchi si yenu!
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
 
wewe unamtindio wa ubongo..... Ok anyway mirembe lini unarudi?
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.

Hapo umechanganya na mbayuwayu! ungetumia za kwako tu ungekuwa kichekesho cha kiwango gani?
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
ndo uwezo wako umeishia hapo.... Anyway si kosa lako ila titi lililo kulea ni la wala rushwa kwa hiyo si kosa kuwaza fedha mda wote..... Wao wamesema makubaliano wanasaini... Unajua wamekubaliana nn?
 
The demand for the new constitution was not a lost cause, but rather was a catalyst for the unity among the opposition and the major setback for the cowards of democracy.
 
Hapo umechanganya na mbayuwayu! ungetumia za kwako tu ungekuwa kichekesho cha kiwango gani?
Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.
 
Wahenga walisema ' umoja ni nguvu utengano ni udhaifu'. Vyama vikuu vya upinzani vimelitambua hilo baada ya maumivu makali waliotendewa mara kadhaa kupitia vyombo vya dora na ulaghai wa wapinzani shiriki wa ccm.

Somo zuri lilikuwa la mchakato wa katiba mpya ambapo wapinzani walisusia yet ccm na washirika wao wakaendelea na mjadara na kutuletea katiba pendekezwa ya ccm.

Kwa miaka mingi watanzania wamelisubili ili la muungano wa vyama vya upinzani. Huko nyuma isingekuwa rahisi kwa sababu zifuatazo: 1) vyama vibaraka wa ccm, 2) usaliti wa viongozi mmoja mmoja ndani ya vyama pinzani waliopandikizwa na ccm na 3) nguvu ya upinzani ( wingi wa wanachama na uthubutu wa kutekeleza malengo yao).

Leo inawezekana kwa sababu zifuatazo: Vyama hivyo (ukawa) vimejitambua, vimejielewa na vinamalengo. Kizuri zaidi vimeunganishwa na jambo moja kuu 'utaifa' uliotokana na huitataji wa katiba mpya itakayotoa mwelekeo wa ujenzi wa taifa jipya la muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.

UKAWA wameilewa ccm na udhaifu wake na wamegundua kuindoa aidha kwa kura au nguvu (in case ccm ime-resist' madiliko ya kura) ni kutumia fimbo ya UMOJA.

UKAWA inajua ccm itataka kutumia mbinu zillezile za kizamani za 'divide and rule'. Mfano mzuri ni michango ya baadhi ya wachangiaji ktk uzi huu na jinsi walivyofanikiwa kuondoka na zzk kutoka cdm. wanajua pia nguvu ya pesa ya ccm.....ndo maana walishinda nguvu hiyo wakati wa mchakato wa katiba mpya...refer kiburi cha Sitta...'wapinzani watakuja tu..nani wa kuhacha 300,000/ kwa siku'

In short, nguvu ya ukawa ni zaidi ya vifaru na mizinga iliyooneshwa na serikali ya ccm siku ya kumkumbu za muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…