Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kumbe yale mabasi ambayo mbowe aliwauzia ndiyo ambayo mnayatumia kuwabeba kazaneni sana.Alafu inawezekana wewe naye ni miongoni mwao wabebwao kwenye fuso kupelekwa kujaza mkutano wa chichiem kisha kugawawia buku 7 na mia tano kwa siku .
Umechemka!Jibu swali acha porojo sheria ya vyama vya siasa chama chenye idadi kubwa ya wabunge kinapata ruzuku nyingi, sasa nauliza chama kipi kitachukua ruzuku nyingi.
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
Umesikia kutoka wapi?
Ha ha ha ha Kama kuna kitu kichwani mwangu na kwa uelewa niliojaliwa kutokuwa sehemu ya kuwapamba mafisadi basi nakibaki milele.Malizia dawa zako kwanza ndipo uje najua siyo wewe unasumbuliwa na kitu fulani kichwani mwako.
Jamani eeh
Uzi umeeleweka!
Lakini mmeshaanza kuuharibu hivi mnashindwa kuchangia bila maneno ya kijinga na ya kipunbavu?
Hebu tuache utoto, kama huwezi kuchangia soma tu!
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
Malimu ndo nini sasa?
Hii post ni ya kama mtu aliyeishia Std 6,halafu Pasco unagonga like bila haya
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.
Wafuasi wa Lumumba ni 0% brain. Wanakera sana!
Kujitoa ufahamu kwao ndiyo imekuwa mtindo. Ona walivyochafua thread!
Jamani eeh
Uzi umeeleweka!
Lakini mmeshaanza kuuharibu hivi mnashindwa kuchangia bila maneno ya kijinga na ya kipunbavu?
Hebu tuache utoto, kama huwezi kuchangia soma tu!
Mbona ume-comment?
Salaam!
Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!
Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.
Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!
Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk
KARIBUNI SANA!
Mods wanawaendekeza Sana hawa wakata viuno wa Lumumba, Uzi ni kujadili UKAWA, mi mbulumundu ya CCM imejazana nashangaa mods wameiacha. Mnaiua JamiiForums nyie moderator msiofanya kazi zenu kwa ufasaa. Akina Melo wangekuwa wavivu kama mlivyo nyie mods wa sasa JF isingekuwa number one forum in East Africa. Fanyeni kazi yenu mods. Fulumusheni hao wakata viuno wa CCM
Salaam!
Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!
Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.
Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!
Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk
KARIBUNI SANA!
=====================
UPDATES!
=====================
BREAKING NEWS!
MODS! NAOMBENI FUTENI HUU UZI MAANA UMESHAHARIBIKA!
NAHISI KUNA VIJANA HUMU NDANI WANA MKAKATI MAALUM WA KUWAKIMBIZA WATU WENYE FIKRA FIKIRISHI HUMU NDANI!
HILO KUNDI NI DOGO SANA HAWAFIKI HATA WATANO, LAKINI KWA UJIRA WA B7 TU WANATEKELEZA HUO MKAKATI WAO!
AHSANTENI SANA MODS!