Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Jamani eeh
Uzi umeeleweka!
Lakini mmeshaanza kuuharibu hivi mnashindwa kuchangia bila maneno ya kijinga na ya kipunbavu?
Hebu tuache utoto, kama huwezi kuchangia soma tu!
 
Alafu inawezekana wewe naye ni miongoni mwao wabebwao kwenye fuso kupelekwa kujaza mkutano wa chichiem kisha kugawawia buku 7 na mia tano kwa siku .
Kumbe yale mabasi ambayo mbowe aliwauzia ndiyo ambayo mnayatumia kuwabeba kazaneni sana.
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.

Nimeamini Viroba nivibaya sana, Wewe unawaza Ruzuku Tu ukawa wanachoangalia watamkomboaje Mtanzania dhidi ya Mkolini mweusi
 
Ni muhimu kuongelea misingi ya kuweka mgombea mmoja na sio NANI awe mgombea. Kumbukeni kama ukawa wakiweka misingi imara ya mgombea na misingi imara ya uongozi, hata akigombea David Kafulila atakuwa raisi bora. Misingi mibovu ya uongozi na rushwa iliyopo CCM hata akija Obama kuwa raisi wa Tanzania bado umaskini na ufisadi vitatamalaki. Misingi kwanza, umimi uwekwe pembeni. UKAWA inaungwa mkono toka pande zote za Tanzania na imevunja mipaka ya udini na ukabila iliyopandikizwa na CCM
 
Jamani eeh
Uzi umeeleweka!
Lakini mmeshaanza kuuharibu hivi mnashindwa kuchangia bila maneno ya kijinga na ya kipunbavu?
Hebu tuache utoto, kama huwezi kuchangia soma tu!

Ili jambo si rahisi kufanywa na team Lumumba a.k.a b7. wao ulipwa kwa wingi wa posts zinazo weza kubadili na kuchafua mjadara hapa jf. In fact, moja ya malengo yao limekuwa ni kukatisha tamaa wachangiaji wazuri hapa jf. Utagundua wengi wa wachangiaji hao walisha 'sepa'.

Pia ni moja ya mkakati wa magamba kukuakikisha mitandao ya kijamii inashughulikiwa kwa njia za kidola, uchangiaji mawazo ya ovyo ovyo kuvurga mijadara hiyo....and so forth.
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.

Tukiwaambia kuwa wafuasi wa lumumba ni 'zero brain' huwa mnalalamika!
Simple question: Kwani sasa ruzuku zinaenda wapi?
Nini maana ya kuunganisha nguvu?
 
Malimu ndo nini sasa?
Hii post ni ya kama mtu aliyeishia Std 6,halafu Pasco unagonga like bila haya

Mbona ume-comment?

Alafu si bora huyo alieishia std 6 kuliko anaejua kusoma na kuandika tu hata kama ameishia std 2 kisha anakuwa mbunge kwa mujibu wa katiba ya CCM.
 
Last edited by a moderator:
Wafuasi wa Lumumba ni 0% brain. Wanakera sana!
Kujitoa ufahamu kwao ndiyo imekuwa mtindo. Ona walivyochafua thread!
 
UKAWA wakisimamisha mgombea moja kila sehemu ruzuku ya chama ambayo inatokana na wingi wa wabunge itakwenda chama gani.

Tumia kichwa kufikiri na si kwa kufugia nywele,ccm ilikuwa inashinda kwa sababu wapinzani walikuwa wanagwa kura,kuna sehemu ccm ilikuwa inashinda kwa kura 40! Hivyo ukawa watakuwa wanasimamisha mgombea mwenye nguvu kutoka chama chenye nguvu sehemu husika mf kg kazkazin,watamsimamisha mg kutoka chadema hivyo ZZK kwisha kazi.
 
Jamani eeh
Uzi umeeleweka!
Lakini mmeshaanza kuuharibu hivi mnashindwa kuchangia bila maneno ya kijinga na ya kipunbavu?
Hebu tuache utoto, kama huwezi kuchangia soma tu!

Mods wanawaendekeza Sana hawa wakata viuno wa Lumumba, Uzi ni kujadili UKAWA, mi mbulumundu ya CCM imejazana nashangaa mods wameiacha. Mnaiua JamiiForums nyie moderator msiofanya kazi zenu kwa ufasaa. Akina Melo wangekuwa wavivu kama mlivyo nyie mods wa sasa JF isingekuwa number one forum in East Africa. Fanyeni kazi yenu mods. Fulumusheni hao wakata viuno wa CCM
 
Salaam!

Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!

Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.

Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!

Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk

KARIBUNI SANA!

Ni jambo mhimu sana ni limefanyika kwa wakati mwafaka ni la kupongezwa.
Tuwaombee heri lifanikiwe najua ccm hawataki kabisa lakini itawabidi wakubali ni nguvu ya Pamoja.
Watakoma ubishiiiiiii wajinga hao wamegulaghai miaka na miaka
 
Mods wanawaendekeza Sana hawa wakata viuno wa Lumumba, Uzi ni kujadili UKAWA, mi mbulumundu ya CCM imejazana nashangaa mods wameiacha. Mnaiua JamiiForums nyie moderator msiofanya kazi zenu kwa ufasaa. Akina Melo wangekuwa wavivu kama mlivyo nyie mods wa sasa JF isingekuwa number one forum in East Africa. Fanyeni kazi yenu mods. Fulumusheni hao wakata viuno wa CCM

Ni ukweli 100%
 
Litakuwa ni jambo jema sana japo ni tishio kwa chama chawala hivyo watafanya kila aina ya hujuma ikiwemo kupenyeza mamluki
 
Salaam!

Hatimaye wapinzani wakuu wanaunganisha nguvu zao za kisiasa! Kila ngazi ya uchaguzi watamsimamisha mgombea mmoja tu!

Tarehe 26.10.2014 makubaliano yanatiwa saini na pande zote.

Naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kujadiliana (KWA MAPANA) faida na hasara za kuunganisha nguvu za wapinzani!

Ni mjadala ulio huru kwa kila mmoja mwenye kuguswa na mwenendo mzima wa Taifa letu kielimu, kiafya, kiuchumi, nk

KARIBUNI SANA!

=====================
UPDATES!
=====================

BREAKING NEWS!

MODS! NAOMBENI FUTENI HUU UZI MAANA UMESHAHARIBIKA!

NAHISI KUNA VIJANA HUMU NDANI WANA MKAKATI MAALUM WA KUWAKIMBIZA WATU WENYE FIKRA FIKIRISHI HUMU NDANI!

HILO KUNDI NI DOGO SANA HAWAFIKI HATA WATANO, LAKINI KWA UJIRA WA B7 TU WANATEKELEZA HUO MKAKATI WAO!

AHSANTENI SANA MODS!

Usifutwe tafadhali tunahitaji kujua wamepokeaje hii habari na wana maoni gani bila kujali watacoment nini
 
Back
Top Bottom