Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....

Slaa ni msomi???
 
Wewe Mandla Jr ni book 7 mzoefu. Mgombea Urais wa CHADEMA anakuhusu nini? Nenda Lumumba mkamjadili Lowassa na Wassira huko.

Tiba
 
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....

Watu mnajua kujitoa ufahamu.... hizo sifa ni za slaa huyu ninayemjua au umekosea jina la mlengwa?
 
Nadhani JK atagombea kupitia UKAWA maana wenzake hawamtaki na yy hataki kuachia,ndio sabab anapiga sarakasi uchaguzi
 
Slaa ni msomi???

Kwani xaxa sio msomi? Shauri yako,leo morogoro mjina nusunusu wanachadema wampige mtu mara baada ya mkutano wa ACT, kisa mtu mmoja kudai viongozi wa chadema Taifa ni WANAFIKI
"chezea miungu wewe"
 
Hakuna ukawa wa cdm ambao wana watu wa kua viongozi wa nchi, viongozi wako ccm pekee ndio mana kila kukicha wananchi wanajiuliza ni lowasa, membe, makamba, wasira au sita? Maana wana imani na chama chao na watu wao makini, wajiulize kutoka cdm kuna nani? Labla chifu maliale wa machame aamke upya lkn si urais wa nchi,
 
wapo wengi tu,ila kazi ipo kwa ccm kila mtu anajiona ana sifa za kuwa raisi hadi king Majuto nae ametangaza nia,heri nimpe kura majuto kuriko wasira au sita!
 
Back
Top Bottom