Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Dah! Nadhani Bangi itahalalishwa kuwa zao rasmi la biasharaSugu anafaa sana. Tunataka raisi bondia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Nadhani Bangi itahalalishwa kuwa zao rasmi la biasharaSugu anafaa sana. Tunataka raisi bondia.
Wewe ndio umekua msemaji wa chama?
Sugu anafaa sana. Tunataka raisi bondia.
We pepo la CCM kawaulize mapepo wenzio huko lumumba mambo yenu ya kimapepo. Toka pepo.Wana JF,
Nani anafaa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA / UKAWA mwaka 2015???
Mandla,
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
We pepo la CCM kawaulize mapepo wenzio huko lumumba mambo yenu ya kimapepo. Toka pepo.
Kwa mara ya pili nasema toka PEPO mchafu toka kafie mbali lumumba kule.Matusi na kupiga ngumi ni sifa ya chadema na ukawa..
Wakati ukifika utajulishwa
kwa Tanzania hakuna mwenye sifa zaidi ya Dr.Slaa,sb ni kuwa anajua tatizo la nchi,hana usasi,ni msomi,ana ujasiri,ni mfuatiliaji,anapenda kusoma,anapenda demokrasia,anapenda kuona mali asili yetu inatunufaisha...waziri wake wa fedha awe lipumba,waziri wa mambo ya ndani lema....
Chadema wanamuandaa Godbless Lema kurithi mikoba ya Dr.Slaa
Slaa ni msomi???