Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pia kwenye ubunge vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja sehemu ambapo chama kinakubalika mfano kigoma nccr.mwanza chadema na lindi mtwara na lengo ni kuitoa ccm marakani. my take.ccm mwisho wao hatimaye umefika source.mwananchi
Umenikumbusha MCHINGA SOUND BAND ilijiita kisiki cha mpingo sasahivi chali mbaya...nadhan unamaana hii safi sanaaaa.
Hapo ndipo utaona unafiki wa wanasiasa,Mbowe alisema hawez ungana na chama chochote hapa nchn maana chadema inajitosheleza.
hivi unafikiri ni mara ya kwanza vyama pinzani kufikiria kujiunga ?from 2000 hizo stori zao nasikia Lyatonga Mrema aliwaambia anataka awe Mwenyekiti wao so far ,mgomo wa juzi tu huu kuna wengine walirudi kimya kimya kwenda kuvuta posho bungeni......usisikie zinc njaa mbaya sana inaua umoja
Ndo uone hamna tofauti kati ya wanaotutawala na wanaoutaka utawala-wanaotutawala hatuwapendi na tunaowataka hatuwaamini!!
Ni wachache sana
watakaopuuza na kubeza mipango hiyo mikubwa ya UNCC ila ukweli nikwamba
hata babu yangu kijijini kwetu alikuwa analilia kuungana kwa upinzani
ili kuitoa CCM kwenye utawala na kwa taarifa hizi zimempa faraja sana
hivyo wanaobeza waendelee ila kwenye nafsi zao hakuna furaha tena!
Sent from my iPad using JamiiForums app