Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WANA JAMVI MAONI
YANGU NINGE PENDA KUONA DR SLAA ANAPITISHWA NA UKAWA KUGOMBEA URAIS 2015
HUKU WAFUATAO WANA KUWA HIVYI;
1;prof lipumba makamo wa rais
2;freeman mbowe- waziri mkuu
3;james mbatia-waziri wa fedha na uchumi
4;tindu lissu- katiba na uchumi
5;habibu mnyaa-muungano
6;jussa-afrika mashariki
7;david kafulila-viwanda na uwezeshaji
8;mkosa mali -maji
9;zitto kabwe-mambo ya nje
10;mothes machali-tamisemi
11;mnyika nishati na madini
ongezeni majina na nafasi zao;angalizo hii ni kama mfumo wa serikali 2
utabakia Kama mfumo wa serikali 3 utakuwepo; urais tanganyika
1;-dr slaa makamo wake james mbatia
2;prof lipumba-muungano makamo wake zitto kabwe
3;maalim seif-zanzibar makamo wake juma duni haji;
naomba kuwasilisha ila kuboreshwa kwa ruhusiwa na si matusi
Ndiyo maoni yako sawa tunayaheshimu.
WANA JAMVI MAONI YANGU NINGE PENDA KUONA DR SLAA ANAPITISHWA NA UKAWA KUGOMBEA URAIS 2015 HUKU WAFUATAO WANA KUWA HIVYI;
1;prof lipumba makamo wa rais
2;freeman mbowe- waziri mkuu
3;james mbatia-waziri wa fedha na uchumi
4;tindu lissu- katiba na uchumi
5;habibu mnyaa-muungano
6;jussa-afrika mashariki
7;david kafulila-viwanda na uwezeshaji
8;mkosa mali -maji
9;zitto kabwe-mambo ya nje
10;mothes machali-tamisemi
11;mnyika nishati na madini
ongezeni majina na nafasi zao;angalizo hii ni kama mfumo wa serikali 2 utabakia Kama mfumo wa serikali 3 utakuwepo; urais tanganyika
1;-dr slaa makamo wake james mbatia
2;prof lipumba-muungano makamo wake zitto kabwe
3;maalim seif-zanzibar makamo wake juma duni haji;
naomba kuwasilisha ila kuboreshwa kwa ruhusiwa na si matusi
pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
no, ni mapema mno kuanza kutangaza hivyo hadharani. Hata kama wana mipango hiyo, lingebaki kuwa suala la ndani hadi hapo muda muafaka utakapofika. Akumbuke kwenye msafara wa mamba na kenge wamo! Ikitokea hilo halikufanikiwa itakuwaje? Ataonekana hakuwa makini; gharama nyingine kubwa kisiasa bila sababu za msingi ambayo ingeweza kuepukwa kama angechunga kauli tangu mwanzo.
kura za jk 2005 na 2010 zinalingana alafu jibu ujijibu mwenyewe.
ukawa wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni arusha basi ukawa wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni lindi ukawa wasimamishe mgombea wa cuf.
Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na ukawa na kuinyima ccm nafasi ya kuwa na viti vingi bungeni.
jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
Na ndo hapo tutakapoona siasa iliyoenda shule 50 kwa 50 bungeni itakuwa poa sana ikiwa hivyo..!!UKAWA wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni Arusha basi UKAWA wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni Lindi UKAWA wasimamishe mgombea wa CUF.
Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na
UKAWA na kuinyima CCM nafasi ya kuwa na viti vingi
bungeni.
UKAWA wasimamishe mgombea ubunge mmoja kwa kila jimbo kutegemea na kukubalika kwa chama jimboni hapo. Kama ni Arusha basi UKAWA wasimamishe mgombea wa chadema, na kama ni Lindi UKAWA wasimamishe mgombea wa CUF.
Kwa kufanya hivyo viti vingi vya ubunge vitachukuliwa na UKAWA na kuinyima CCM nafasi ya kuwa na viti vingi bungeni.