Ni kwei mgosi. Kama mbwai, mbwai bwana. Mzimu wa Seuta wonda utigookee. Nawakagone, kumoso na kuume.
Vuta kamba, kaza kamba. Mwaka huu patachimbika.
UKAWA tunataka vitu fresh sio used!! Lowasa halali ya CCM siye hatutaki makomboTatizo la Taifa hili ni kukosa ujasiri,mimi ni Mwana chadema live na ninamuona Lowasa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.
Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho.Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa!Vijana tusiwe wajinga.I am ready to do anything to take the system out!
Lowasa wasikuogopeshe kiivyo,wanawatu wakuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwaajili yao.Sema neno,fanya maamuzi,kama mbwai iwe bwai!
Ijo bhange jako uvanganyejo na sinku nmweako....! Ukizutwa madanga ushezatoa ukoo
CC: zumbemkuu bysange Mussolin OLD KOROGWE
Tatizo la Taifa hili ni kukosa ujasiri,mimi ni Mwana chadema live na ninamuona Lowasa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.
Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho.Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa!Vijana tusiwe wajinga.I am ready to do anything to take the system out!
Lowasa wasikuogopeshe kiivyo,wanawatu wakuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwaajili yao.Sema neno,fanya maamuzi,kama mbwai iwe bwai!
Hahhahaaaaa gosha wedi
Vichwa vya binaadam hutofautiana kufikiri kila kimoja kinauwezo wake kama smart phone zilivyo kuna yenye 2G kuna yenye 3G kuna yenye 4G kuna ambayo ni Automatic inazote sasa wewe ubongo wako uko nyuma ya 2G ndio maana unawaza hivyo!!lowasa akitua ukawa na kuruhusiwa kugombea urais ndo mwisho wa ukawa na vyama vya upinzani kiujumla...
chadema mamluki!badala ya kuwaza chako chako we unamwaza lowassa."amelaaniwa yeye amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake".jiamini acha kumtegemea mtu wa taasisi nyingine,chadema ni taasisi kubwa.tatizo la taifa hili ni kukosa ujasiri, mimi ni mwana chadema live na ninamuona lowassa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.
Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho. Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa! Vijana tusiwe wajinga. I am ready to do anything to take the system out!
Lowassa wasikuogopeshe kiivyo, wana watu wa kuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwa ajili yao. Sema neno, fanya maamuzi, kama mbwai iwe bwai!
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.kwa ali ilivyo ya kisiasa nchini na mvuto aliokuwanao Lowasa siku atakapotangaza kujiunga na UKAWA nchi itazizima kwa sherehe na vifijo kana kwamba ndio kwanza tunapata Uhuru na siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, hata ccm watumie nguvu ya namna gani hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya Lowasa.