Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

Tatizo la Taifa hili ni kukosa ujasiri,mimi ni Mwana chadema live na ninamuona Lowasa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.

Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho.Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa!Vijana tusiwe wajinga.I am ready to do anything to take the system out!
Lowasa wasikuogopeshe kiivyo,wanawatu wakuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwaajili yao.Sema neno,fanya maamuzi,kama mbwai iwe bwai!
UKAWA tunataka vitu fresh sio used!! Lowasa halali ya CCM siye hatutaki makombo
 
Kingunge! Usimwache EL awe kama J.MBE! Akikaa kimya amekwishaaaaaa!

Maamuzi magumu ndio option yake.
 
Tatizo la Taifa hili ni kukosa ujasiri,mimi ni Mwana chadema live na ninamuona Lowasa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.

Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho.Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa!Vijana tusiwe wajinga.I am ready to do anything to take the system out!
Lowasa wasikuogopeshe kiivyo,wanawatu wakuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwaajili yao.Sema neno,fanya maamuzi,kama mbwai iwe bwai!

Hizi ni njaa tu wala hakuna lolote nyambafu kabisa.
 
siku tatno zilizosemwa na Mbatia zinamtosha Lowasa kufanya maamuzi magumu vinginevyo amekwisha kama Zitto
 
lowasa akitua ukawa na kuruhusiwa kugombea urais ndo mwisho wa ukawa na vyama vya upinzani kiujumla...
 
lowasa akitua ukawa na kuruhusiwa kugombea urais ndo mwisho wa ukawa na vyama vya upinzani kiujumla...
Vichwa vya binaadam hutofautiana kufikiri kila kimoja kinauwezo wake kama smart phone zilivyo kuna yenye 2G kuna yenye 3G kuna yenye 4G kuna ambayo ni Automatic inazote sasa wewe ubongo wako uko nyuma ya 2G ndio maana unawaza hivyo!!
 
tatizo la taifa hili ni kukosa ujasiri, mimi ni mwana chadema live na ninamuona lowassa kama msaada zaidi wa kwenda ikulu.

Mimi ni moja kati ya watu walioko tayari kimwili na kiroho. Sio mtu wa kuogopa nyau nikijua kila nafsi itauonja umauti.
Hata yakinikuta ya ulimboka sawa! Vijana tusiwe wajinga. I am ready to do anything to take the system out!
Lowassa wasikuogopeshe kiivyo, wana watu wa kuwasaidia wa mshahara ila hawana watu walio tayari kufa kwa ajili yao. Sema neno, fanya maamuzi, kama mbwai iwe bwai!
chadema mamluki!badala ya kuwaza chako chako we unamwaza lowassa."amelaaniwa yeye amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake".jiamini acha kumtegemea mtu wa taasisi nyingine,chadema ni taasisi kubwa.
 
kwa ali ilivyo ya kisiasa nchini na mvuto aliokuwanao Lowasa siku atakapotangaza kujiunga na UKAWA nchi itazizima kwa sherehe na vifijo kana kwamba ndio kwanza tunapata Uhuru na siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, hata ccm watumie nguvu ya namna gani hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya Lowasa, wenye kuelewa wanaliona hili, na Lowasa ili apate raha ndani ya moyo Tunamshauri ajiunge na UKAWA na ikiwezekana UKAWA wampe nafasi ya kugombea urais wataona mziki wake, maana kwa watanzania kwa sasa lengo ni kuwatoa ccm madarakani mambo mengine yatafuata baadae, mtoe nyoka ndani ya nyumba kwanza alafu atapanga vitu baadae,kuiacha ccm iendelee kuwa madarakani mwaka huu tutakuwa tumeiuza nchi.
 
Kiukweli hapa watu wanamzodoa huyu jamaa wakiwa home kwenye keyboard but nawaambia huyu white head akihamia ukawa lazima kama ccm hawaja m..rip huyu basi kuna dalili ya jeshi kuingia mtaani maana najua kutalipuka na hawatakubali ashinde na kiukweli ni fisadi kama zuma but anapendwa
 
kwa ali ilivyo ya kisiasa nchini na mvuto aliokuwanao Lowasa siku atakapotangaza kujiunga na UKAWA nchi itazizima kwa sherehe na vifijo kana kwamba ndio kwanza tunapata Uhuru na siku hiyo ndio itakuwa mwisho wa Makufuli na ccm, hata ccm watumie nguvu ya namna gani hawana uwezo wa kushindana na nguvu ya Lowasa.
Baada ya CCM kumsimamisha jembe Magufuli, Lowassa ahamie UKAWA kwenda kufanya nini?!. Kama CCM ingemsimamisha Membe, hata mimi ningeuka mkono hoja!. Lowassa hili analijua wazi na ahami ng'oo!.

Pasco
 
Kikwete ni fisadi but kuna watu wanampenda na kumsifia
Mkapani fisadi but kuna watu wanampenda na kumsifia
Magufuli ni fisadi butkuna watu wanampenda na kumsifia.
Sasa kuna dhambi gani huyu jamaa na yeye akipendwa!!????
 
Point Muhimu hapa ni kumtoa kwanza nyoka ndani, vitu tutavipanga baada ya nyoka kuwa ametoka nje.
 
Ha ha ha ha heading imenichekesha sana mana kunawengine hatukuziona hizo sherehe za uhuru tunataka tuzione sas kw lwaasa
 
Back
Top Bottom