Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

Elections 2015 UKAWA na Lowassa unganeni mchukue nchi, wakati ndio huu, mkipuuzia huu ushauri basi tena!

Serena

aisee wahusika wa ukawa kama kweli mnaangalia maendeleo ya watanzania fuateni huu ushauri ili kuitoa ccm madarakani tu..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaandika maneno mengi, as if unajua sana......

Mimi nimekuchukulia kwamba wewe uko empty kwa kiwango kikubwa sana....

Lakini hata kwa kuwa empty kwa kiwango hicho, nilitegemea angalau ungekuwa unajua kwamba swala la mgombea mwenza kutoka upande tofauti na anapotoka mgombea urais ni swala la kikatiba na hakuna anayeweza kulibadilisha bila mabadiliko ya kikatiba kufanyika.......hivi hata hili hulielewi !?

Serena
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada Lowasa kaa naye huko huko kwako.Kama unahitaji ushahidi uliza hao waliomvamia kwa nyengo na makwanja.
 
Ni sawa , lakini dhamira kubwa ni nini?

Kuiangusha CCM, haijalishi mkusanyiko ukoje

Lowasa kupata uraisi,lengo binafsi.

Je kama asingepata masahibu hayo, si huyo huyo angesimama kuwaburuza wapinzani, kama angeingia madarakani?
 
Kama lowassa anao ushahidi wa kutokuhusika waziwazi na Richmond kama anavyodai basi ni rahisi sana kusafishwa!


Nna wasiwasi nae kwasababu pindi bom lilipo mlipukia wakati ule asinge weza kukubali kutoka madarakani ilhali ushahid anao. tuwe makini nae ndugu zangu, tusi adahike kilahisi hivyo.
 
EL atulie tu kwa sasa huyu mzee hana jipya mimi binafsi hata likiwekwa SHATI TUPU nitalipigia kura
 
Napenda kutoa maoni yangu kama raia wa Tanzania hii ya sasa kwa UKAWA kama wao wanapenda kututumikia wananchi nawasihi sana waungane na Mhe. Lowassa ili kuiondoa CCM madarakani na UKAWA tukachukua nchi.

Ikumbukwe UKAWA sio chama cha siasa ila ni umoja wa muunganiko.

Asanteni..

 
CCM wameshindwa kumsafisha EDO, kwa UKAWA ni rahisi sana, atang'aa tu kwa kufuata katiba ya chama husika.
Uzuri wake UKAWA wamesema hawatafuatilia ufisadi wa viongozi waliopita kwa sababu gereza haliwatoshi.
 
Aje aisee yaani huu mwaka ccm hawatoki....................................
 
Kama tutaendelea kujidanganya kwamba UKAWA pekee yao watachukua hii nchi basi tutakuwa watu wajinga zaidi duniani..

No way, lazima mtu mwenye nguvu kutoka chama tawala ajiengue nao then ajiunge na wapinzani hapo ndipo kutakuwa na urais wa upinzani kushinda chama tawala. Tumeyaona hayo yakitokea kwenye nchi zetu nyingi tu za kiAfrika. UKAWA tukitaka kwenda Ikulu ni lazima tukubali kushirikiana na Lowassa.. Ni dhahiri EL ana mtaji wa watu wengi sana nyuma yake, kuli'ignore kundi kubwa hivo lililopo nyuma yake utakuwa ni ujinga wetu na kamwe tusitegemee kwenda Ikulu tena miaka ya karibuni..

Wale wanaobeza UKAWA kushirikiana na EL watakuwa ni wapumbavu wasiotakia upinzani mafanikio.. Narudia, kama viongozi wa UKAWA wanaweza kunegotiate na EL wafanye hivyo haraka..
 
Hii ni nguvu kumeza,lakini hakuna linalo shindikana chini ya jua...
 
Back
Top Bottom