afisa manispaa
Senior Member
- May 17, 2015
- 188
- 132
atumtaki ndani ya ukawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa na hapo ndo kuna hoja ya msingi. Wanaotukana hawana nia njema na mabadiliko ya kweli. Wanaosema Lowassa ni fisadi watuambie ni nani msafi ndani ya CCM. Kuna watu wanafikiri kuitoa CCM madarakani kazi nyepesi??? wapo wengine wanadhani ni kuhubiri ufisadi majukwaani kunatosha???? Nataka niwaambie wale wote wanaobeza hoja yangu kwamba kuitoa CCM madarakani na mfumo wake unaotufanya tuendelelee kuwa maskini ni zaidi ya majibizano ya hapa mtandaoni, ni mikakati thabiti ikiwemo na ya kutafauta mtu mwenye back up, kitu ambacho Lowassa atasaidia sana.Kama tutaendelea kujidanganya kwamba UKAWA pekee yao watachukua hii nchi basi tutakuwa watu wajinga zaidi duniani..
No way, lazima mtu mwenye nguvu kutoka chama tawala ajiengue nao then ajiunge na wapinzani hapo ndipo kutakuwa na urais wa upinzani kushinda chama tawala. Tumeyaona hayo yakitokea kwenye nchi zetu nyingi tu za kiAfrika. UKAWA tukitaka kwenda Ikulu ni lazima tukubali kushirikiana na Lowassa.. Ni dhahiri EL ana mtaji wa watu wengi sana nyuma yake, kuli'ignore kundi kubwa hivo lililopo nyuma yake utakuwa ni ujinga wetu na kamwe tusitegemee kwenda Ikulu tena miaka ya karibuni..
Wale wanaobeza UKAWA kushirikiana na EL watakuwa ni wapumbavu wasiotakia upinzani mafanikio.. Narudia, kama viongozi wa UKAWA wanaweza kunegotiate na EL wafanye hivyo haraka..
atumtaki ndani ya ukawa
huu ndio ukweli halisi,naamini MBOWE anajua kucheza vema na mitaji ya kisiasa hasa kwa lengo la kuongeza nguvu na kupiga hatua kufikia matarajio ya waTanzania.Kama tutaendelea kujidanganya kwamba UKAWA pekee yao watachukua hii nchi basi tutakuwa watu wajinga zaidi duniani..
No way, lazima mtu mwenye nguvu kutoka chama tawala ajiengue nao then ajiunge na wapinzani hapo ndipo kutakuwa na urais wa upinzani kushinda chama tawala. Tumeyaona hayo yakitokea kwenye nchi zetu nyingi tu za kiAfrika. UKAWA tukitaka kwenda Ikulu ni lazima tukubali kushirikiana na Lowassa.. Ni dhahiri EL ana mtaji wa watu wengi sana nyuma yake, kuli'ignore kundi kubwa hivo lililopo nyuma yake utakuwa ni ujinga wetu na kamwe tusitegemee kwenda Ikulu tena miaka ya karibuni..
Wale wanaobeza UKAWA kushirikiana na EL watakuwa ni wapumbavu wasiotakia upinzani mafanikio.. Narudia, kama viongozi wa UKAWA wanaweza kunegotiate na EL wafanye hivyo haraka..
Lowasa huyu aliyetajwa Muembe Yanga na Slaa kwenye list of shame? Kweli nchi hii hatuna upinzani bali kuganga njaaAje aisee yaani huu mwaka ccm hawatoki....................................
kaka hapa ni sapoti tu nakutupa siri za ushindiYeye aungane na sisi UKAWA yaani aje atupe sapoti kupiga kampeni na kuhamasisha wananchi ila sio.aje kugombea URAIS,hiyo haikubaliki
Nyie mapopoma ni either CCM mnaogopa hiyo theory au hakuna mnachokijua kwenye ulingo wa siasa..
U can never wake up with million bucks just over night.. never on this Earth.. Hatuwezi kukishinda chama tawala kama chama hicho hakitapasuka, haitowezekana. Ndani yao kuna matajiri wakubwa, wana vyombo vya dola, wana mahakama, tume pia ni yao.. Usitegemee kuchukua nchi kama hivyo vyote havitogawanyika. EL ana kundi kubwa na matajiri nyuma yake (ambao kimsingi ndio dhana kubwa ya CCM), EL ana wafuasi mbalimbali walioko juu serikalini na hata kwenye Tume ya Uchaguzi, jeshini na hata Polisi. Tutakuwa wajinga kwa tuna'ignore jambo muhimu kama hilo..
Kamwe usitegemee CCM watangaze tu kirahisi eti UKAWA mmechukua nchi.. hahahaha tutasubiri sana
huu ndio ukweli halisi,naamini MBOWE anajua kucheza vema na mitaji ya kisiasa hasa kwa lengo la kuongeza nguvu na kupiga hatua kufikia matarajio ya waTanzania.