ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Siyo kila mtu anaweza kuonana na othumani wewe kama unaweza tumeshakupa kamwambie ila sisi kazi yetu ni kuwajuza watanzania ujinga wa ukawa wanavyohongwa kuharibu nchi.
CCM wanatia huruma jamani!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Jamaa wajinga sana kwani wao wanadhani siyo watanzania au kwa sababu wamejenga nyumba dubai na kwingineko mambo yakichafuka watakimbilia dubai hawanaakili kabisa.
Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Ujerumani hawana huo muda mchafu wakujibizana na Wenda wazimu kama akina thatha.
Jambo Leo sio gazeti la serekali nawala sio wasemaji waserekali.
Kazi kutapatapa tu.
Habari hiyo ni uchochezi kwa sababu hata kama wahusika wamepokea hela haiwezekan maelekezo yakawa ni kuvuruga mchakato. Hiyo tafsiri potofu labda kama upo ushahidi wa maelekezo ya matumizi ya fedha kama hizo. maana yake ni kuwa hata msaada ukitolewa mahala pengine basi mtu aweza kutafsiri vyovyote. chukulia mfando misaada ya kidini basi dini nyingine iseme hawa wamepokea hela ili kudhoofisha dini yetu? Je, huo ni uungwana?Tusubiri tuone , kama ni uongo Ujerumani si wataitaka Tanzania iombe msamaha, ikikaa kimya manake ni kweli
Propaganda za kijinga! Kama wanaushahidi wataje taasisi husika, kiasi cha pesa na namba za akaunti ikiwa ni pamoja na benki ziliko huku wakionesha kiasi cha pesa zilivyoingia na kutoka. Nchi inategemea misaada kutoka huko hivyo madai kama haya ambayo hayana ushahidi ni kutaka kuleta migongano isiyokuwa na tija kwa nchi. Mabalozi wa Ujerumani na Uholanzi wapo hapa kwanini serikali isipeleke malalamiko yake kupitia kwao kama kweli inaushahidi? Nyakati za kufikiri wananchi ni wajinga wa kulishwa kila ujinga zimepita muda mrefu sana!Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Bila shaka wafadhili hao watakuwa ni Conrad Adeneur. Wafadhili wakuu wa CDM
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.