CCM na washirika wake wanachowaza kwa sasa ni namna gani ya kuendelea kukwapua rasilimali za taifa na kulinda utawala wao wa kiimla na sio kujenga taifa imara lenye kujali raia wake
Hivi CCM wanadhani hata katika nchi nyingine kuna wajinga kama wao wanaoweza kugawa pesa ovyo ovyo hata kwa mambo ya kipuuzi? Ujerumani itoe hela kwaajili ya katiba ya Tanzania kwa faida ipi inayopata? Hawa CCM hata ikitokea mjumbe wa ukawa kajamba watasema amelipwa na watu wa nje. Tunaposema CCM kuna wengi wenye akili ndogo, kauli kama hizi zinathibitisha hilo.
Mjinga tu ndiyo anaweza ruleSerikali haijawahi kuomba msaada Ujerumani. Ni wahuni tu wale
Kwa jinsi mnavyoweweseka manathibitisha kuwa Homa ya UKAWA ni kali kuliko homa ya Ebola.[/QUOTE]
UMENENA VYEMA...
Acheni kutapatapa, waambieni UKAWA waache ujinga huu wa kutumiwa na mataifa ya magharibi, enzi hizo zilishapitwa na wakati
mtasema mengi sana, mi - ccm mliwatega UKAWA kwa hela zenu za posho mkafikiria wange rudi bungeni kutetea katiba ya ccm sasa wamegomea mihela michafu ya ma - ccm munatunga uongo ili tuwakubali ila nasema hivi watanzania tunalaani katiba ya ccm.Madai hao yametolewa na Kundi la Tanzania Kwanza
- Wamesema mabilioni hayo yanatoka katika taasisi mojawapo nchini Ujerumani na zinapitia akaunti iiyoko Uholanzi kuingia nchini.
- Inasemekana pesa hizo zinaingia kweneye akaunti za Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Harouna Lipumba na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe.
Source: Jambo Leo
Ni wakati muafaka sasa wakamatwe haraka kwa kosa la kukusudia kuleta vita nchini
Chadema wanapata msaada Ujerumani, Ukawa wanapata msaada Ujerumani, Ukawa wanalipwa laki saba sijui nne, na mengine meengi kutoka CCM tumeyasikia, sasa yanatufundisha nini? Watanzania hawajitambui kwa mawazo yao ni sawa, lakini sio kiihivi. Walitutangazia ugaidi kwa vyama vyote vya upinzani nchi hii, tunakumbuka ngangali na ngunguli na mapanga yao, tunakumbuka uislam wa CUF na ukristo wa Chadema, hivi hata kama watanzania ni wapumbavu wa kununuliwa T shet na kanga na shingi elfu tano ndio muwadharau hivi? Kazi hamfanyi kazi kuiba tu na kuficha nnje ya nchi kwa umasikini huu hata mkidanganya vipi nani hauoni unasikini? Nani haoni maisha magumu? Matibabu hakuna nani haoni? Elimu mbovu nani hajui? Hebu jaribuni kuangalia maisha ya Watanzania kwanza ndio muwe mnatuletea hizo kampeni zenu za kizushi kwa sasa maisha yametufunza kujua baya na zuri.
Hao walikuja kwa maslahi ha taifa na ndiyo maana wanaonekana wazi wazi , sasa hawa wa UKAWA wanaojifichafisha wanataka nini? Weka nw wa UKAWA basi tuwaone waziwazi wanafanya nini
wewe ni mwajiriwa wa ccm, hivi ni katiba gani hii ambayo mumeondoa vipengele vya uwajibikaji na uadilifu halafu munasema iendelee kujadiliwa NYIE NI MASHETANI na hatuwakubali.Upinzani njaa...wanaitumia nchi kuiba fedha za wazungu