Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

pole sana ndugu,ni vema akajisafisha vizuri kila mara kwa ndani kadri inavyowezekana,anaweza kujikuta anaugua fungus au hata kupata some of infections ambazo ni hatari xanaaaaaaaaaa hata kw baadae km kupoteza uzazi alionao,ikishindikana ni bora kumuona doctor wa magonjwa ya kike ukiwa nae kw ushaur zaid
 
Wife toka nimpe berberdendis liquid soap tatizo limeisha. Pia inatibu matatizo ya u.t.i
 
Kwa wale mnaotoa ushauri kuwa aingize kidoge ndani ya K ajisafishe, cdhani kama ni ushauri sahihi becoz mke wangu alienda kufanya check-up ya cancer ya kizazi Ocean Road hospital akaambiwa ni MBAYA SANA kujisafisha kwa kuingiza kidole/vidole ktk K maana hiyo ndio sababu kubwa ya infections. Ule ute mweupe uliopo ktk K ni normal kwa maumbile ya uke wala sio uchafu, huwa unatoka wenyewe na wala hauna harufu. Ila ute ukibadilika rangi na kuwa na njanonjano au nyeupe iliyofubaa basi tayari kuna infection.

Cha msingi aende tu hospitali apewe dawa maana atakuwa na infection ndio maana anatoa harufu.
 
Best ni kumona Gyn. Kama huna cervical leasions basi comensal floral yaweza kuwa coctail ya ajabu. Goodluck.
 
Kwa utafiti wangu mdogo nilofanya so far wale wenye hili tatizo ni wale wanao osha sana K zao. Na nashangaa hata Great thinkers wengine humu bado wanashauri wadada waingize vidole kujisafisha. Muwe mna google jamani kuhusu afya zenu...kama alivyosema mdau hapo juu kusafisha K kwa kuingiza midole ndio kunakoleta harufu na kansa. Mtu inatakiwa ujiswafi maeneo ya nje tu ya K huko ndani kunajisafisha kwenyewe. Huo mtoko si uchafu ni msafi labda kuliko mate.
 
K ndio nini nyumba kubwa....🙂🙂

Last edited by a moderator:
[h=3]Usafi wa uke!...wa ndani[/h]

Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu..

Imani au uelewa uliokuwepo:
•Uke ni sehemu chafu chafu chafu sana tena yenye wadudu wa kutosha
yenye kunahitaji kusafishwa kila siku,Uke unahitaji kusafishwa kwa hali ya juu zaidi mara baada ya siku za hedhi au tendo la ngono,Uke wapaswa kuwa mkavu wakati wote ute unakuwepo ukeni ni uchafu usiopaswa kuwa pale Uke haupaswi kuwa na harufu hata kidogo. Harufu ni ishara ya uchafu au ugonjwa!

Kinachofanyika kutokana na imani hii ni kwamba uke husafishwa kila
siku nje na ndani. Hasa ndani kwa kutumia vidole na:
•Maji ya kawaida, labda vuguvugu
•Maji ya iliki
•Maji ya mchele
•Asali
•Rose water
•Vidonge vya kufyonza uchafu
•Maji yenye dettol
•Maji ya vinegar...

Ukweli ni kwamba:
•Uke ni mfumo unaojisafisha wenyewe kwa ndani na ni sehemu moja ya
mwili wako ambayo ni safi kuliko maelezo, safi kuliko midomo yetu.
Habari ndio hiyo.
•Mfumo huu husafisha damu ya hedhi na shahawa wenyewe, hauhijaji
msaada wa aina yeyote
•Uke wenye afya una bacteria, lactobacilli, ambao ni kawaida kuwepo
humo. Hawa hupambana na vijidudu visivyopaswa kuwepo huko kulinda uke
na mfumo wa uzazi kwa ujumla.
•Uke wenye afya sio mkavu, muda wote una ute usiokua na rangi (kama
maji), mwepesi na unaonata. Uzito, wingi na mnato wa ute huu hutegemea
na mabadiliko ya mwili wa mwanamke. (Jifunze tofauti ili ujue muda
inapaswa kumuona daktari)
•Uke wenye afya una harufu, ambayo ni nzuri, murua na isiyokera J.
Kama harufu itakua kali na inayokera (kama yai bovu) basi uke wako
hauko katika afya njema na unahitaji kumuona daktari.

Madhara ya kusafisha uke kama ilivyoainishwa hapo juu:

Ni kitu kimoja tu kinachopaswa kuingia kwa kibibi……ambacho ni babu
toshaaaaaaaa, vidole na vingine vyote vilivyoinishwa hapo juu it’s a
no no situation na….

Unaporuhusu kitu chochote kisichotakiwa kuingia ndani ya uke wako,
unatoa nafasi ya kuharibu mfumo wake wa asili, na unajua ukishadisturb
mfumo wowote, athari zake ni chain reaction.
•Vidole vyako vinaweza kuwa na vijidudu (kumbuka uke ni msafi kuliko
vidole vyako) vijidudu hivyo vikashamiri na kuwashinda nguvu
Lactobacilli. Ukapata vaginal infections za kila namna.
•Kitendo hiki chaweza kupeleka vijidudu kwenye njia ya mkojo
ukasababisha UTI – Urinary Tract Infection
•Unawaua/kuwaondoa Lactobacilli na kuacha uke wako wazi na hatarini
kwa mashambuizi ya kila aina. Hakuna walinzi!!
•Mfumo wa uke usipofanya kazi vizuri ndio utaona ute mwingi kuliko
inavyotarajiwa au mkavuuuu kabisa.
•Uchafu wowote mwingine unashindwa kusafishwa naturally unalundikana
matokeo yake ofcousre infections na harufu mbaya.
•Amini usiamini ni sababu mojawapo inayoleteleza saratani ya shingo ya uzazi.
•Mashambulizi mengine yanasaabisha utasa (infertility)
•Ute unakauka, na pale unapouhitaji (tenda la ndoa) hautakuwepo na
kusababisha michubuko ambayo inaongeza fursa za maambukizi ya magonjwa
ya ngono.

He? Sasa tusafishe vipi uke kuhakikisha una afya njema?
•Safisha nje tu kila siku unapooga au unapojisikia kwa maji safi na
mikono misafi. Nje ya uke kunahusisha mashavu na katikati yake.
•Waweza kutumia sabuni isiyokua na kemikali kali, japo haishauriwi pia
but Hakikisha sabuni haipenyi ndani kabisa
 
Habirini za Jioni,

Naomba msaada katika hili jaman wanajamii,

Nnna mpenz wangu ambaye tunapendana sana na we wish to have a good ending,

lakini tatizo ninalokumbana nae ni kwamba anatatizo la kutoa HARUFU kali sana UKENI hasa baada ya kumaliza kufanya

mapenzi.Harufu hiyo huambatana na particles nyeupe kama maziwa ya mgando hivi.

serious guys that thing inanifanya nakua na wakati mgumu kwani ukimaliza hutaman kurudia tena.

amejaribu kwenda kwa madaktari wawili watatu imeshindikana.Naomba kwa anaefahamu hili au doctor pale nisaidie

TAFADHALI.
 
Kuna doctor wa magonjwa ya akina mama anakuwaga na kipindi chanel ten, anaelezeaga mambo mengi nafikiri kama vipi nenda chanel ten ukawahulize kuhusu foreplan watakupa direction
 
Ni lazima akutane na daktari bigwa wa magonjwa ya kina mama ila kabla ya hapo inabidi atueleze ikiwa anatoka uchafu wowowte ukeni na kama unatoka una rangi gani,una harufu? Wanawake wa kisasa wanaamini toilet paper kuliko maji lakini kutokunawa kwa maji baada ya kujisaidia haja ndogo kunsababisha harufu ukeni.
 
uchafu unaotoka ni kama mweupe hi na wakati mwingine ni ni kama chembe chembe za cream kama ute au kama cream iliyo ganda vizuri.
 
Kama kweli unampenda kuwa wa kwanza kumpeleka kwa madaktari bingwa
Najua ni kiasi gani unaathirika na hali hiyo bt amua sasa kumsaidia sasa, kwani usipofanya hivyo hutadumu nae sana
maana hutaenjoy kuwa nae na hata atakapokutana nae akili yako itakukumbusha hiyo harufu hata kama siku atakuwa hanukii
 
uchafu unaotoka ni kama mweupe hi na wakati mwingine ni ni kama chembe chembe za cream kama ute au kama cream iliyo ganda vizuri.
Hiyo ni vaginal candidiasis na inabidi atumie nystatin vaginal pssaries kwa siku sita mfulululizo na inabidi uchukue likizo katika hizo siku.Pia anaweza kuongezea na kidonge cha fluconazole mg 150 mara moja tu.
 
Habirini za Jioni,

Naomba msaada katika hili jaman wanajamii,

Nnna mpenz wangu ambaye tunapendana sana na we wish to have a good ending,

lakini tatizo ninalokumbana nae ni kwamba anatatizo la kutoa HARUFU kali sana UKENI hasa baada ya kumaliza kufanya

mapenzi.Harufu hiyo huambatana na particles nyeupe kama maziwa ya mgando hivi.

serious guys that thing inanifanya nakua na wakati mgumu kwani ukimaliza hutaman kurudia tena.

amejaribu kwenda kwa madaktari wawili watatu imeshindikana.Naomba kwa anaefahamu hili au doctor pale nisaidie

TAFADHALI.

1. Afanye usafi wa maumbile yake kwa kutumia MAJI YA MDALASINI,HILIKI NA UFUTA.KWA MUDA WA WIKI 2.
-. Kutayarisha - Atwange MDALASINI + HILIKI + UFUTA kisha achemshe ktk maji kisha apoze yawe na joto kiasi kidogo na kisha anawe mara aendapo chooni ITAONDOA HARUFU.
2. Afue nguo za ndani vizuri na aanike penye mwanga.
3. Abadili nguo ya ndani mara 3 hadi 4 kutwa.
 
kaka lazima mm nichukue likizo au yeye?

Naanza kukuelewa sasa thanks much
 
hiyo itakuwa ni fungus,but ni vema amwone doctor haraka.pole kaka
 
Back
Top Bottom