Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Tu nashukuru mkuu kwa elimu hii wengine tunahangaika mala Leo huyu kesho yule wote wale wale kama panya kafa,ngoja najaribu baada ya hii elimu huenda wakawa wasafi.
 
Sasa ndio msiwe mnawakimbia ili tatizo linatibika wakuu.

Mm nina kumbukumbu nzuri sana ya kukutana na mtu wa namna hii
 
Kwa mjamzito akiwa na tatizo la fangasi anashauliwa kutumia dawa zipi kama unatoka uchafu mweupe na unanuka?
 
Wanawake jitahidini aise yani mmekuwa source ya haya mambo kwa wanaume
 
Asante kwa somo je mama mjamzito anaweza kunywa hizo dawa?
flagyl imeonekana haina madhara kwa wajawazito japo usalama wake bado unabishaniwa. suala la kutumia linategemea jinsi daktari amepima faida na hasara
 
Tafadhali pole pole andika Flajil au FLAGYL sio Frajili Kihaya au Kikuria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…