Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kapimwe kisonono wewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kule inaingia tu joystick bana mavidole ndo ataharibu zaidiJisafishe tu vizuri na maji ingiza kidole ndani utoe uchafu, basi, ni suala la usafi tu bidada
ungemwambia hivi tangu mwanzo ingekuwa nginja kuliko ulivomwambia sijui aweke baking powder utadhani kaomba ushauri wa kukanda maandazi ukeni
ungemwambia hivi tangu mwanzo ingekuwa nginja kuliko ulivomwambia sijui aweke baking powder utadhani kaomba ushauri wa kukanda maandazi ukeni
umeelewa eeh usinione mzushi bnahahahahaha
Retired Sister Inakuhusu hii kesi kwangu imekuja kimakosa!Baking soda
is another ingredient that can be used to balance the pH level in your body. When the pH level is in balance, the problem of vaginal odor will dissipate.
- Add one-half cup of baking soda to your bathwater.
- Soak your lower body in it for about 20 minutes.
- Dry yourself thoroughly with a clean towel. This remedy will help fight a yeast infection and can help get rid of odor quickly.
nimecheka mpaka nahisi kufa daaah Jf kibokoHarufu mbaya ukeni either una safisha uke na sabuni... Kitu ambacho ni mwiko, au ina fungus za uke.... Zina toa harufu mbaya balaa kama samaki alie oza au mzoga wa paka.... In short chumba kizima lazima kinuke mzoga,
Nenda hospital muone daktari na kua huru mwambie uke wangu una toa harufu mbaya no kama samaki na vundia ndani huko... Naomba uni saide.... Naamini kuna dawa ata kupa...
Usipo fanya hivyo jua na jamaa yako usha muambukiza fungus hizo usi shangae ana kwambia ana tokwa na vipele kwenye sehemu zangu za siri au dushelele lake...
Pole na kila la heri
uchafu hauhusiani na haya magonjwa. na huwapata wafanya ngono na wasiofanya japo wafanya ngono huathirika zaidi.Mada nzur umeeleza magonjwa, sababu yake n nn na waepuke vip.
Mostly mambo haya ni usafi tuu
Andaa tena somo sababu za hayo magonjwa na jins ya kuepuka