Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Jisafishe tu vizuri na maji ingiza kidole ndani utoe uchafu, basi, ni suala la usafi tu bidada
 
ungemwambia hivi tangu mwanzo ingekuwa nginja kuliko ulivomwambia sijui aweke baking powder utadhani kaomba ushauri wa kukanda maandazi ukeni
Vaginal-odor-final-opt.jpg
 
ungemwambia hivi tangu mwanzo ingekuwa nginja kuliko ulivomwambia sijui aweke baking powder utadhani kaomba ushauri wa kukanda maandazi ukeni

Baking soda
is another ingredient that can be used to balance the pH level in your body. When the pH level is in balance, the problem of vaginal odor will dissipate.

  1. Add one-half cup of baking soda to your bathwater.
  2. Soak your lower body in it for about 20 minutes.
  3. Dry yourself thoroughly with a clean towel. This remedy will help fight a yeast infection and can help get rid of odor quickly.
 
Retired Sister Inakuhusu hii kesi kwangu imekuja kimakosa!
 
Nakushauri tu Ukafanye Vipimo ili ubaini Kama ni Infection Ya Candidiasis (Fungal Infection) mana Kwa maelezo uliyotoa nahisi ni hivyo.
 
Harufu mbaya ukeni either una safisha uke na sabuni... Kitu ambacho ni mwiko, au ina fungus za uke.... Zina toa harufu mbaya balaa kama samaki alie oza au mzoga wa paka.... In short chumba kizima lazima kinuke mzoga,

Nenda hospital muone daktari na kua huru mwambie uke wangu una toa harufu mbaya no kama samaki na vundia ndani huko... Naomba uni saide.... Naamini kuna dawa ata kupa...

Usipo fanya hivyo jua na jamaa yako usha muambukiza fungus hizo usi shangae ana kwambia ana tokwa na vipele kwenye sehemu zangu za siri au dushelele lake...

Pole na kila la heri
 
Kula matunda matunda .....balanced diet huleta harufu nzuri kitumbuani.
 
We acha hivyo hivyo wengine huwa tuna pendaga hiyo cream. Na vile umesema harufu not that bad inaonesha bado ni ile natural smell, ukiweka na hiyo cream waniuaaaaaaaaa wallah.
 
Harufu mbaya ukeni either una safisha uke na sabuni... Kitu ambacho ni mwiko, au ina fungus za uke.... Zina toa harufu mbaya balaa kama samaki alie oza au mzoga wa paka.... In short chumba kizima lazima kinuke mzoga,

Nenda hospital muone daktari na kua huru mwambie uke wangu una toa harufu mbaya no kama samaki na vundia ndani huko... Naomba uni saide.... Naamini kuna dawa ata kupa...

Usipo fanya hivyo jua na jamaa yako usha muambukiza fungus hizo usi shangae ana kwambia ana tokwa na vipele kwenye sehemu zangu za siri au dushelele lake...

Pole na kila la heri
nimecheka mpaka nahisi kufa daaah Jf kiboko
 
Jamani kwa nini usiende hospital dada kuna maspesho doctor kibao katibiwe haraka.
 
Nenda hospital kucheki, pia pitia jukwaa la kule down mzizi mkavu aliweka thread nzuri sana jinsi ya kusafisha papuchi
 
Nimeona niirudie hii mada. sababu ni nyingi ila kubwa ni hizo mbli. Candida nimeongezea tu.

Fangasi wa candida
Hawa husababisha muwasho ukeni na kutokwa na ute mzito mweupe, ugonjwa huu unaweza mpata mwanamke yeyote ila zaidi ni wale wafanyao ngono. Kwa kawaida ute huu huwa haunuki. Pia unaweza hisi papuchi inawaka moto nakusikia maumivu wakati wa kugegedwa. Inasemekana kati ya wanawake 100 , 75 kati yao hupata ugonjwa huu maishani mwao.

Kutibu candida nirahisi sana , kuna dawa za kupaka kama clotrimazole cream, na pia kuna vidonge vya clotrimazole vya kuweka ukeni. Pia kuna vidonge vya fluconazole.

Unaweza kupaka clotrimazole au kutumia vidonge kwa siku7-14 kulingana na uzito wa ugonjwa pia unaweza kunywa kidonge kimoja cha fluconazole 150mg au vidonge vitatu (kimoja kila baada ya siku tatu) kulingana na hali

Trichomonas vaginalis
Kati ya wanawake mia kumi wanao hawa wadudu. Wanasababisha papuchi kuwasha, maumivu wakati wa kukojoa na kutokwa na maji ya rangi ya mchanganyiko wa kijani na njano ambayo hunuka vibaya.

Kutibu ni rahisi sana! Metronidazole (frajili) ambayo huwa na 200mg unameza 2g (unameza vidonge 10 kwa pamoja). Au vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba. Pia unaweza tumia dawa ya tinidazole.

Bacterial vaginosis
Unatoa majimaji meupe yenye harufu ya samaki. Unapiga metronidazole200mg (frajili)vidonge viwili na nusu asubuhi na viwili na nusu jioni kwa siku saba.
 
Mada nzur umeeleza magonjwa, sababu yake n nn na waepuke vip.
Mostly mambo haya ni usafi tuu
Andaa tena somo sababu za hayo magonjwa na jins ya kuepuka
 
Mada nzur umeeleza magonjwa, sababu yake n nn na waepuke vip.
Mostly mambo haya ni usafi tuu
Andaa tena somo sababu za hayo magonjwa na jins ya kuepuka
uchafu hauhusiani na haya magonjwa. na huwapata wafanya ngono na wasiofanya japo wafanya ngono huathirika zaidi.
 
Back
Top Bottom