Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Hivi unajuwa hata harufu ya k?
mnachosha nyie wajukuu mjue.
 
Nina mashaka na hali ya mahusiano uliyonayo kwa sasa, pole lakini.. ukiweka wazi yanayokusibu kifikira hapa jamvini utasaidiwa...your too emotional and judgemental ladyAJ.
Mtu pekee atayekupa jibu la uhakika ni baba yako, muulize amewezaje kuishi na uke unaotoa harufu wa mama yako kwa miaka yote hiyo hadi ukazaliwa wewe
 
''Harufu ilidumu mkononi kwa wiki kadhaa''..........ndo maana ni mara chache mno nasalimiana kwa kushikana mikono..........aliyegundua 'tano' big up kwake.
 
Asante mkuu kwa mchango wako muhimu sana.
SABABU NA JINSI YA KUZUIA UKE KUTOA
HARUFU MBAYA.[emoji26][emoji160][emoji160][emoji17]



[emoji160][emoji160]Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo
linalowasumbua wanawake wengi.


[emoji160][emoji160]Zifuatazo ni sababu na jinsi ya kuzuia tatizo
hilo


[emoji160][emoji160]1.BACTERIA VAGNOSIS.

Hili ndio tatizo ma 1,linalosababisha uke kutoa
harufu mbaya,Inawezekana ukawa msafi mpaka
mwisho lakini ukisumbuliwa na tatizo hili basi
lazima uke wako utatoa harufu mbaya.Kila uke
una Bacteria ambao wapo naturally kwa ajili ya
afya njema ya uke wako lakini kama ikitokea
hawa bacteria wakazidi na kuwa wengi kupita
kiasi ambacho uke wako unaweza kuhimili ndio
hapo hiki kitendo kinaitwa BACTERIA
VAGINOSIS.


[emoji160][emoji160][emoji654]Sababu zinazosababisha Bacteria Vaginoais
hazijulikani kwa usahihi lakini madaktari
wanasema inaweza ikasababishwa na kitendo
cha kufanya mapenzi bila kondom especially
kama vitu vilivyoingia kwenye uke wako wakati
wa kufanya mapenzi vilikuwa vichafu ( vitu kama
vidole au mashine ya mwanaume au mara
nyingine inatokea naturally bila sababu.


[emoji160][emoji160][emoji654]DALILI ZA BACTERIA VAGNOSIS.
*Uke kutoa majimaji mazito ( ute ute ) ama
mepesi yenye rangi ya njano au brown yenye
harufu mbaya.


*Maumivu kwenye maeneo ya kiuno au nyonga.

* Uke unaweza ukawa unawasha.

[emoji160][emoji654]2.MAGONJWA YA ZINAA.
Kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa
yanayosababishwa na ufanyaji wa mapenzi bila
kutumia kondom,kama kaswende na
kisonono,ukiyapata huwa yanasababisha uke
kutoa harufu mbaya kwa sababu dalili zake
zinahusiana na kutokwa na maji yenye harufu
mbaya.

[emoji160][emoji654][emoji17]3.UCHAFU.

Inawezekana pia tatizo la uke kutoa harufu
mbaya linasababishwa na uchafu,labda unaoga
mara moja tu kwa siku au siku nyingine hata
hauogi.Au hauna mazoea ya kufua nguo zako za
ndani na ikitokea siku umezifua basi hata
hauzisugui zikawa safi.


[emoji160][emoji654]4.YEAST INFECTION.
Hili pia ni tatizo,lipo kama la Bacteria Vagnosis
tofauti yake ni kuwa kwenye Bacteria Vagnosis
waliokuwa wamezidi ni Bacteria lakini huku
wanaozidi ni Fungus Candida Albicana.

*Ni wanawake wachache huwa wanapata
Bacteria Vagnosis lakini wanawake wengi lazima
wapate Yeast Infection japo mara moja katika
maisha yao.

[emoji654]*Mara nyingi Yeast Infection hutokea naturally au
inaweza kusababishwa na aina ya vyakula au
vinywaji unavyokula au kunywa especially kama
vimejaa Yeast. ( vyakula vyote vinavyotengenez
wa na hamira,pombe.n.k)


[emoji654][emoji654]DALILI ZAKE.


*Uke kuwasha
*Maumivu kama uke
unaungua pale unapokuwa
unajisaidia haja ndogo.
*Uke kutoa majimaji mazito (ute ute) yenye
rangi nyeupe kama jibini.


[emoji654][emoji654][emoji654][emoji17]MAMBO YA KUFANYA ILI KUZUIA UKE USITOE
HARUFU MBAYA.


[emoji160][emoji654]1.OSHA UKE WAKO KWA MAJI SAFI KILA
UNAPOMALIZA KUJISAIDIA HAJA NDOGO.

Asilimia kubwa ya wanawake hawana mazoea na
utaratibu huu.Ni utaratibu muhimu katika maisha
ya kila siku ya mwanamke,unapokuwa unajisaidia
haja ndogo lazima utakuwa umechuchumaa,haja
ndogo yako imapokuwa inatoka lazima kutakuwa
na mabaki kidogo yatarukia na kubakia lips za nje
au za ndani za uke wako.Hayo mabaki baada ya
muda yatachanganyika na jasho ma kutengeneza
harufu mbaya hivyo ni vizuri kuosha uke wako
kwa maji safi kila unapomaliza kujisaidia haja
ndogo.


[emoji654][emoji160]2.UKIWA UNAOSHA UKE WAKO,TUMIA MTINDO
WA KUPELEKA MKONO KUTOKA MBELE KURUDI
NYUMA.

Kuna baadhi ya wanawake tayari wameshazoea
kusafisha sehemu zao za siri kwa kupeleka
mkono kutoka nyuma kuja mbele.Hui mtindo sio
mzuri kiafya kwa kuwa huko nyuma kuna sehemu
ya haja kubwa,kumejaa uchafu na bacteria
wengi,sasa wakati unajisafisha unapopeleka
mkono nyuma unazoa uchafu na ukauleta mkono
mbele unaacha hao bacteria na uchafu kwenye
uke wako.Na huo ndio mwanzo wa uke wako
kutoa harufu mbaya na kupata infections za
ajabu ajabu.
*ukitaka kuwa salama,haijalishi kuwa umemaliza
kujisaidia haja kubwa,au ndogo au wakati
unaoga,ukitaka kusafisha sehemu zako za
siri,tumia mtindo wa kupeleka mkono mbele
kurudi nyums ili usije kuwaleta bacteria na
uchafu wa nyuma,mbele kwenye uke wako.


[emoji654][emoji654]3.VAA NGUO ZA NDANI ZENYE ASILI YA
PAMBA.


Pamba ina uwezo wa kupitisha hewa hata kama
ni kidogo sana,na sehemu za siri za mwanamke
inahitaji flow ya hewa inayopita,nyingine iwe
inaingia na nyingine iwe inatoka.Hii flow ya hewa
hata kama ni ndogo itasaidia kufanya sehemu
zako zs siri kuwa fresh muda wote na
utapunguza uwezekano wa uke wako kutoa
harufu mbaya.Na pia punguza kuvaa nguo za
kubana sana muda wote,nguo za kubana
zinasababisha majasho sehemu za siri na
ukizingatia hamna flow ya hewa kwenye sehemu
zako za siri basi lazima hayo majasho yataanza
kutoa harufu mbaya.

[emoji654][emoji160]4.USIVAE NGUO YA NDANI MOJA SIKU NZIMA.
Kwa jinsi maumbile ya mwanamke
yalivyo,umatakiwa kubadili nguo ya ndani mara
mbili au tatu kwa siku.Unapotoka nyumbani
kuelekea kazini,chuo,kwenye biashara zakp n.k
hakikisha unatoka na nguo ya ndani ya pili
ambayo unatakiwa uiweke ndani ya mkoba au
kipima joto chako.
Labda ulivaa nguo ya ndani asubuhi ulipokuwa
unatoka nyumbani,ikifika ( saa 8 au 9 ) ingia
bafuni au chooni,vua nguo yako ya ndani,kisha
unaweza ukaoga mwili mzima au ukassfisha
sehemu zako za siri tu,Nguo
Ukimaliza hapo chukua nguo ya ndani safi
uliyotoka nayo nyumbani uivae,hapo sasa
unaweza kuendelea na shughuli zako kama
kawaida huku uke wako ukiwa msafi bila harufu
za ajabu ajabu.

[emoji654][emoji654]5.PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI AU
YEAST.
Unaweza kupunguza pia tatizo hili kwa kuacha au
kupunguza kula vyakula vyote vyenye sukari au
yeasy kwa wingi.Vyakula hivyo ni kama vile
vinavyotengenezwa na hamira,pombe
nk.ukizidisha vyakula au vinywaji hivi ina maana
utakuwa unazidisha yeast mwilini na wakizidi
kwenye uke utapata YEAST INFECTION,mwisho
wake uke wako utaanza kutoa harufu mbaya.


[emoji654][emoji654][emoji160]6.BADILI PAD'S ZAKO MARA KWA MARA UWAPO
KWENYE HEDHI.
Ili kuzuia uke wako usitoe harufu mbaya kipindi
ambacho upo kwenye siku zako,inashauriwa
kubadili pad mara kwa mara (kila baada ya
masaa 4 au 8 ).kubadili pad's mara kwa mara
kunasaidia ujisikie upo confortable,inazuia
bacteria kujikisanya,inasaidia kupunguza
uwezekano wa kupata infection na mwisho
inaondoa uwezekano wa uke wako kutoa harufu
mbaya.


[emoji654][emoji654]7.NYOA NYWELE ZAKO ZA SEHEMU ZA SIRI
MARA KWA MARA.
Nywele zako za sehemu za siri zinapokuwa
ndefu,unakuwa umetengeza maficho ya kila aina
ya uchafu kuanzia jasho,majimaji yatakayokuwa
yanakutoka ukeni ukipata hamu ya kupewa raha
na utamu,mabaki ya haja ndogo nk.
*ili kujiepusha na yote hayo ni heri ukawa
unazikata nywele zako za sehemu za siri mara
kwa mara ili uke wako msafi muda wote.
 
Kama nakuona baada ya Kumshika ukeni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu ni udhalilishaji wa wanaume wa jf, hivi hao wanawake zenu wamewakosea nini mpaka kila Siku ni thread za kuwasimulia mabaya yao? Sasa kwa taarifa yako kama Huyo mwanamke unayempondea hapa kuwa anananuka na mama yako yupo hivyo hivyo,ni bora sasa mkawauliza baba zenu wamewezaje mpaka mkazaliwa nyie! Hebu muwe na heshima kwa wanawake . ITOSHE SASA.
Mbona unakuwa mkali sn?!

Nenda kamuone dr km tatizo limekuwa kubwa sana.
 
Nina mashaka na hali ya mahusiano uliyonayo kwa sasa, pole lakini.. ukiweka wazi yanayokusibu kifikira hapa jamvini utasaidiwa...your too emotional and judgemental ladyAJ.
Hali yangu ya mahusiano ni njema na yana Afya tele ,yanayonisibu ni mengi ila sio ya udhalilishaji kiasi cha kuona wanawake ndio sehemu ya matusi yenu,mwanamke asipokua mama yako basi aweza kuwa mpenzi wako,Dada yako, shangazi yako au hata rafiki yako! Sasa ikiwa kila anayekuja anakuja na neno kunuka jua humdharirishi yeye tu bali umewatusi hata hao ndugu zako!
 
na wewe ni mmoja wapo wa ile timu kunuka papuchi au?mbona povu limekutoka sana
acha linitoke ...au mnadhani wanawake wote hatupendani? Hii mada ilishazungumziwa sana,na tukatoa ushauri wa jinsi ya kusafisha uke ili uwe safi, lakini kila mkinyimwa huko na wake zenu mnakimbilia jf kuja kuwatukana, jando halifundishi dharau kwa wanawake ila linataka heshima umuheshimu kila mwanamke na kumtunzia siri yake .....sishangai ndio maana Vikoromea siku hizi vimeisha kwa wanaume mmekua na shingo nyoofu kama wanawake
 
  • Thanks
Reactions: nao
Umetumia lugha kali sana, hayo mambo ni ya kawaida mnamalizana wenyewe huko huko bhana
 
Mama yangu nishampeleka bado ww
Mume wangu akiliona hilo kwa kua ana elimu ya jando na koromeo hatolopoka hadharani ila kwa kua wewe unashingo mithiri ya Millen Magesa ndio maana yanakutoka tu
 
Mume wangu akiliona hilo kwa kua ana elimu ya jando na koromeo hatolopoka hadharani ila kwa kua wewe unashingo mithiri ya Millen Magesa ndio maana yanakutoka tu
Nenda ukatibiwe bibie
 
Back
Top Bottom