Mm ke mkuu sio me mwambie awe anajisafisha vizuri na maji mengi, na akienda kukojoa anawe vizuri then ajikaushe na tishu. Apendelee sana kuvaa chupi za cotton original.Tatizo likizidi nenda kwa daktari labda atakua mgonjwa wa uti, fangasi nk.Kaka inanikera,huwa kuna harufu ya K,sasa hii ni issue geni sijaizoe kabisa.inakera sana
Weka vitunguu swaum na tangawizi usahidia kukata harufu,
Tafadhali mkuuNdio matokeo ya kuchukua product za kwa mtogole..empty set
Mwambie ananunue mananasi ale na mengine asage anywe kama juisi... (kuna mdau alitoaga hii solution hapa jukwaani)...nadhani nikimwabia hivyo live ataninunia ile mbaya