Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mwambie akate / abandue hayo makucha kwenye mikono yake .
 
Kaka inanikera,huwa kuna harufu ya K,sasa hii ni issue geni sijaizoe kabisa.inakera sana
Mm ke mkuu sio me mwambie awe anajisafisha vizuri na maji mengi, na akienda kukojoa anawe vizuri then ajikaushe na tishu. Apendelee sana kuvaa chupi za cotton original.Tatizo likizidi nenda kwa daktari labda atakua mgonjwa wa uti, fangasi nk.
 
Weka vitunguu swaum na tangawizi usahidia kukata harufu,
 
Mwambie aache umalaya,ataozesha k yake kwa arufu mbaya ya mishaawa ya wengine!
 
Wewe mwambie kua umeona tofauti Kwenye maumbile yake hivyo ungependa umpeleke hospital akapate matibabu
 
Back
Top Bottom