Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Sawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu, naombeni majibu juu ya hili baada yakumaliza hedhi kabisa siku mbili zinazofuata hutoa maji maji yenye harufu kali na hakua hivyo mwanzo na hana magonjwa ya zinaa wala hakawah kuumwa lalini hali hii hua haidumu huchukua kama siku tatu na kupote hurudi baada ya kumaliza hedhi
Msaada wenu tafadhali
Usihofu tulia tu. Kama hakuna ugonjwa itakwisha tu. Mbona beberu hunusa huko kabla? Tafuta perfume nzuri na jitahidi kuoga na kuvaa pampas zaidi
Usihofu tulia tu. Kama hakuna ugonjwa itakwisha tu. Mbona beberu hunusa huko kabla? Tafuta perfume nzuri na jitahidi kuoga na kuvaa pampas zaidi
Ngoja Tuwasubiri Wenye Kutiririsha Maji Ya Mindu Waje Watoe Uzoefu Wao Kwani Wengine Tutakudanganya Tu Ukizingatia Tumeumbwa Na Tsh 120 Zetu!
Hahahaaaa ua not seriously hakuna kitu kama hichoo viginal smell feel like chokolate
You are wrong! it actually smells like fish
Si maji yakufanya avae pampas
winme;
Samahani kwa neno hili; Hivi wajua kuwa kuna wanawake ambao akijihisi hamu kidogo tu, kuna vijimaji humtoka?? Halafu wajua kuwa hicho nacho ni kipindi kizuri cha kutengeneza mtoto? Si yai limeteemka kwenye chemba likingojea mbegu? We vipi? Mambo hayo ni mageni kwako? Kila ke akitoa hivi vijimaji huwa ana kaharufu kake japa wanatofautiana ukali wake.
Miye nikimtongoza tu, najua ka nitakubaliwa saa hiyo hiyo au ntachukua mda. Kaharufu kuashiria kukubaliwa

Duh!wonderz shall never end.
sonnita;
It is not wonders, its facts. Does it mean yu do not know of yourself? Lakini nami nimegundua, huwezi isikia weye but when yu feel that jerking it is always accompane by tha small "adour"
Kabla ya kukimbilia madawa ajaribu kwanza kuosha K vizuri, baadhi ya dada zetu hawajui kuosha, anapiga maji juu basi amemaliza-mwambie awe anaingiza vidole kunako anasafisha na maji mengi. Kukitakata vidole inakuwa shida kuingia tofauti na wakati kuchafu. Kama bado harufu inatoka then hilo ni tatizo anaweza kutafuta madawa