Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Usafi wa down there ni muhimu kuliko makeup ya USO,kama ww ni mdada lazima ulijue hilo,harufu kama harufu kule haikosekani lakini je ni harufu gani mbaya au nzuri???kama mbàya either ni mchafu hujisafishi vzr au una ugonjwa uende hospital kwa vipimo zaidi,.....lakini hiyo kitu kama hauna hizo changamoto hapo juu aseee unaweza ukatamani ujilambe maana hata ww mwenyewe inakuvutia na unajihisi uanamke kamili.
 
Nilikuwa sehemu fulani nikasikia ugomvi wa wanawake. Mmoja katika kujibu hoja alisema.... 'wanawake wote ni wachafu' lakini nilichogundua ni kwamba hakumaanisha uchafu wa kujitakia bali maumbile yao.

Kama ni hali isiyo ya kawaida basi itakuwa ni infections
 
Jamani kitu ambacho sipendi huwa ni miharufu wakati wa kuduu.Nimejaribu kuchunguza nimekosa majibu.Wadau nisaidieni huwa tatizo ni nini?
Pole sana brother napenda nikushauri mpeleke hospital akatibiwe tatizo hilo lina tibika vizuri tuu na huenda akawa vizuri zaid tatizo hili husababishwa na vimelea kama vile bacteria/fungus/trichomonas/ n.k au vaginosis uchunguzi unahitajika wa kina kama upo dar ni pm nikusaidie tatizo lako tutaanza kwa uchunguzi wa maabara then........
 
Back
Top Bottom