+ usitumie sabuni kuoshea sehemu za siri osha kwa maji ya kawaida
+ hatuoshi uke juu juu, hapana ingiza kidole ndani ya uke huku ukitumia maji kuosha..
Fanya ivo zaidi ya mara tano
+ badili chupi kila baada ya masaa 4,hasa ukitoka maliwatoni,
( wenzako huwa tunabeba chupi kwenye bagi, mafuta, na manukato unavyoingia huko badilisha hukohuko) usibebe pochi kama urembo ,,,, badilika
+ usijipulizie pafyum ukeni au mapajani ( hii ni sababu kunuka kwa sehemu za siri)
+ fua chupi, fua chupi , fua chupi vizuri, hasa katikati, pembeni mwa paja, riboni ya kiuno na chup yote kwa ujumla , suuza kwa maji safi anika juani.
( baada ya kukauka pasi chupi)
+ epuka kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi, unyevuunyevu, kuanzia chupi mpaka taiti. Vaa nguo zilizokauka
+ epuka kurudiarudia chupi
Ushauri: wenzio huwa tunachupi zaidi ya 30 na huwa hazijirudii rudii