Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Aisee kweli nina safari ndefu na hawa viumbe! maana sijawahi kubahatika kumpata anaenuka bumunda! ngoja nisubiri
 
Kama ulipata ujasiri Wa kumtongoza mpaka akawa wako,hivyohivyo tumia ujasuri huo kumwambia ukweli kuwa ananuka k' na umshauri kwa kinagaubaga cha kufanya,kama kumuona mtaalam Wa hayo maswala au laah.
 
Wewe unajua papuchi aisee bacterial niwabayaa nadhani pedi tunazotumia wanawake zina shida kuna dawa moja ya kuzuia bacteria mimi nikimaliza periods huwa natumia tu just in case
Mimi nazipima kama gynaecologist, wananiita "vaginaecologist" sikosi kuzijua.
 
Hiv karne hii bado kuna wadada wana haruf haruf za ajab,daah,..mi kiukwel sjawai kutana na hzo papuch,..hiv mtu unanukaje yan?daah,..hata ndim au limao unashindwa tumia dada angu..et mtu unaharuf ya kwapa,hiv unanukaje kwapa mtu mzima.ni aibu
 
Mmmmmhu makubwa haya tena!! yaani harufu mpaka chumba kinatetemeka?[emoji119][emoji119]
 
Amuombe samahani kwa lipi hasa, papuche kutoa harufu au kwa kumtaarifu kwamba huko chini hapafai?!
Kwa atachokamwambia hata kama sio kosa ila Huwez jua atajickiaje baada ya kuambiwa hvy watu tometofautiana na jambo kama hilo huwenda ikawa ni ugonjwa pia so haitakiwi kumwambia as if hajisafishi vizur bali kwa upole na kumbembeleza kama kweli anampenda
 
Kama anajioshaga basi atakua anamatatizo huko ..maana ungekua hajioshi inamana chanzo cha harufu kingegundulika
 
Back
Top Bottom