Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Mpeleke hospital afanye ultrasound na HVS(High Vaginal Swab) ili kutibu kiini cha infection ama zaidi ambavyo dokta atashauri...
Kikawaida Vagina ina harufu ila sio harufu mbaya
 
+ usitumie sabuni kuoshea sehemu za siri osha kwa maji ya kawaida

+ hatuoshi uke juu juu, hapana ingiza kidole ndani ya uke huku ukitumia maji kuosha..
Fanya ivo zaidi ya mara tano

+ badili chupi kila baada ya masaa 4,hasa ukitoka maliwatoni,
( wenzako huwa tunabeba chupi kwenye bagi, mafuta, na manukato unavyoingia huko badilisha hukohuko) usibebe pochi kama urembo ,,,, badilika

+ usijipulizie pafyum ukeni au mapajani ( hii ni sababu kunuka kwa sehemu za siri)

+ fua chupi, fua chupi , fua chupi vizuri, hasa katikati, pembeni mwa paja, riboni ya kiuno na chup yote kwa ujumla , suuza kwa maji safi anika juani.
( baada ya kukauka pasi chupi)

+ epuka kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi, unyevuunyevu, kuanzia chupi mpaka taiti. Vaa nguo zilizokauka

+ epuka kurudiarudia chupi
Ushauri: wenzio huwa tunachupi zaidi ya 30 na huwa hazijirudii rudii
And keep the vagina DRYYYY mda wote...tumia tissue paper nzuri ama usivae chupi ukishinda nyumbani ili uwe mkavu.
 
Magonjwa hayo na rundo la wanaume...
Una moyo mgumu sana mm ningegeuza kabla...
NB:Nenda muende hospitali mkapate matibabu na ushauri.
 
Kila vigina biologically lazima iwe na kasmell na ndio kakaongeza aski kwa mwanaume na kufanya mboo kusimama na kuwa ngumu kama msumari wa zege
 
Jamani kitu ambacho sipendi huwa ni miharufu wakati wa kuduu.Nimejaribu kuchunguza nimekosa majibu.Wadau nisaidieni huwa tatizo ni nini?


Ninakuomea huruma sana, ila kwa level ya hiyo trouble mi namshauri amwache tu kwa busara, kuna mwingine labda ataweza vumilia, hiyo harufu nishajaribu ivumilia, HAIVUMILIKI. anaweza JILAZIMISHA, ila ITAMPA UGUMU WA MAISHA TU!
 
Aisee halafu kuna mijitu huwa inaenda chumvini
Tupoooooo....

wewe tuu na bahati yako mbaya unakutana na mi k michafu harufu ka ngonda ....

zipo mashine usipoipiga deki wewe mwenyewe roho inakuuma na kuijutia nafsi yako.

Wapiga deko tupoo na soon tutaanzisha chama chetu na shirikisho la.afrika mashariki tayari kuanza ligi ya upigaji deki.
Kama anajioshaga basi atakua anamatatizo huko ..maana ungekua hajioshi inamana chanzo cha harufu kingegundulika
 
Kama ulipata ujasiri Wa kumtongoza mpaka akawa wako,hivyohivyo tumia ujasuri huo kumwambia ukweli kuwa ananuka k' na umshauri kwa kinagaubaga cha kufanya,kama kumuona mtaalam Wa hayo maswala au laah.
Ugumu anaoupata daktari kumwambia mgonjwa kuwa unaumwa KANSA ni sawa kabisa na ugumu anaoupata mwanaume kumwambia mpenzi wake kuwa ANANUKA K AU MDOMO.

Kunuka kwapa ni rahisi sana kumwambia mpenzi wako sawa na dr kukwambia unaumwa malaria.
 
Uwe unaosha vizuri hiyo **** yako kabla hujaduu, hiyo ndiyo suluhisho.

HAPO UMENENA MKUU
WENGINE ATI WANAONA AIBU KUWAAMBIA KUA KAOSHE HIO **** YAKO UIFUKIZE KABSAA NA UDI HARUFU YA PAPANGURU IMENISHINDA[emoji3]
Cha kushangaza hawaoni aibu pale wanavowaambia wazame chini wainyonye[emoji3]

Kweli wanaume tumezaliwa ni mateso[emoji1321]
 
Sijui ni kuongezeka kwa joto duniani?? Au shughuli za utafutaji watu wanakosa muda wa kunywa maji mengi na kujiswafi?? Au kufanya mapenzi holela kunapelekea kujibebea magonjwa mbalimbali ikiwemo fangasi na aina zingine za magonjwa ya ngono?? Au ni unywaji holela wa dawa za antibiotics ambazo zinapelekea kuua vijidudu vya uke vyenye faida na kusababisha maambukizo ya mara kwa mara katika njia ya mkojo??? Sababu zipo nyingi tuu nyingi kubwa kabisa ni life style ya mtu.
Shosti la msingi ni turudi katika asili yetu tu kuishi kiasili hizi kuiga iga mh
 
Back
Top Bottom