Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Habari wapendwa,mke wangu amekuwa akitoa harufu mbaya sana sana ukeni hasa pale tunapokuwa tunafanya mambo yetu ,napenda mke wangu apone,siwez kumuacha kisa iyo sababu,naomba msaada kwa anayejua dawa yake
Mwanangu unazengua , nasijui kwanini wanaume wengi hatupo responsible kwa wanawake wetu ,nahata wanawake wetu pia nao hawapo makini. Kila kitu tunachukulia rahisi.
So wee na mkeo wote wazenguaji.

Je ni ya muda mrefu??
Je Uke wake ni mwekundu zaidi?
Anapata maumivu wakati wakusex?
Anapata kuvimba uke ?.
Anajisikia km alochubuka ukeni ??.

Niivi kutokana na Anatomical differences kati ya mwanamme na mwanamke ,Mwanamke nikiumbe anayeweza kushambuliwa na magonjwa mengi na kwaurahisi.

Hivyo Mungu akaamua kuwawekea walinzi yaani bacteria nahawa sio bacteria wanaodhuru , kazi yao kubwa nikuhakikisha wanapambana na maadui kuhakikisha wanakula nutrients na nakujaza nafasi ila maadui watakapofika wanakuta hamna nafasi yawao kukaa na hamna chakula.

Sasa hawa bacteria +chemicals zilizopo ukeni , zikafanya uke Wa mwanamke kua na Harufu yakawaida , ambayo mara nyingi niharufu ya mapenzi mapenzi ,ukishainusa tuuu lazima ujue huyu kagegedwa au mbooo ikusimame ule mzigo sasa kwann Harufu Mbaya

Kuna wakati mwanamke uke wake unakua na Harufu mbaya nanimuda mrefu , Hiii inatokea pale tu na pale tu ambapo mwanamke amepata maambukizi kwa njia ya Ngono yaan sexually transmitted infections ( STI's ).

Maambukizi haya yanaweza kua ni Trichomonal vaginitis ambayo Mara nyingi mwanamke anakua na maumivu kukojoa nakusex+ kutokwa uchafu ukeni Lakini pia Wanawake wengi wanaweza wasionyeshe dalili.

kuna uwezakano pia amepatwa na ongezeko kubwa la kuzaliana kwa bacteria yaaan Bacterial Vaginosis lakini pia anaweza akawa sio ssafi uko chini .

Au wenda anavaaa chupi za kubanaaaaaaa na taiti zakubanaaaaaaa au bikini za nylon ,alafu najuu anavaa jinsi au nguo material ya nylon sasa mwisho jasho ukeni linatoka K inalowaaa jashoo muda wote sasa inatengeneza mazingira mazuri ya Bacteria hatari kumuingia nakufanya icho kinachokukera.

MATIBABU .
ikiwa anasumbuliwa nayo kww muda mrefu nalicha yakua msafi basi atakua na gonjwa
moja wapo ukeni mwake nakama ni trich basi ujue nyote wawili lazima mtibiwe
ivyo nikuitaji kufika hospital kwaajili ya mkeo kufanyiwa Diagnosis ,ijulikane .

Kama hata maambukizi ,basi mwambie aache Kupulizalia uke pafyumu. Poda ,losheni kuiosha na sabuni kali kali , nawewe uache kumuingizia mavidole ovyo ovyo wakati nimachafu .

Namwisho aoshe vagina yake na sabuni yakawaida ,maji safi ( yasiwe na yamoto ,

Ishini maisha ya wazee wetu ,acheni maungo yenu yapumue ,myaoshe kwasabuni na maji safi nasalama, mule ndani ajisafishe bila makucha marefu , namwisho asivae nguo bila maji kukauka, awe ametoka kukojoa , au kujisaidia ,au kuoga , mwambie atumie taulo kujifuta na kuhakikisha anajivuta kunakua pakavu ndo avae +anywe maji zaidi , na kujifuta ajifute kutoka mbele kwenda nyuma ,sio nyuma kuja mbele atajiongezea tatizo lingine

jion njema mkuu.

habari wapendwa,mke wangu amekuwa akitoa harufu mbaya sana sana ukeni hasa pale tunapokuwa tunafanya mambo yetu ,napenda mke wangu apone,siwez kumuacha kisa iyo sababu,naomba msaada kwa anayejua dawa yake
 
Mwanangu unazengua , nasijui kwann wanaume wengi hatupo responsible kwa wanawake Wetu ,nahata wanawake Wetu pia nao hawapo makini. Kila kitu tunachukulia rahisi.
So wee na mkeo wote wazenguaji.

Je ni ya muda mrefu??
Je Uke wake ni mwekundu zaid?
Anapata maumivu wakati wakusex?
Anapata kuvimba uke ?.
Anajisikia km alochubuka ukeni ??.

Niivi kutokana na Anatomical differences kati ya mwanamme na mwanamke ,,Mwanamke nikiumbe anayeweza kushambuliwa na magonjwa mengi na kwaurahisi.

Hivyo Mungu akaamua kuwawekea Walinzi yaan Bacteria nahawa sio bacteria wanaodhuru , kazi yao kubwa nikuhakikisha
[emoji117] wanapambana na Maadui
[emoji117] kuhakikisha wanakula nutrients na nakujaza nafasi ILI maadui watakapofika wanakuta hamna nafasi yawao kukaa na hamna chakula.

Sasa hawa bacteria +chemicals zilizopo ukeni , zikafanya uke Wa mwanamke kua na Harufu yakawaida , ambayo Mara nyingi niharufu ya mapenzmapenzi ,ukishainusa tuuu lazima ujue huyu kagegedwa au mbooo ikusimame ule mzigo !![emoji23] [emoji23] .

Sasa kwann Harufu Mbaya ???.

Kuna wakati mwanamke uke wake unakua na Harufu mbaya nanimuda mrefu , Hiii inatokea pale tu na pale tu ambapo
[emoji117] Mwanamke amepata maambukizi kwa njia ya Ngono yaan sexually transmitted infections ( STI's ).
Maambukizi haya yanaweza kua ni Trichomonal vaginitis ambayo Mara nyingi mwanamke anakua na maumivu kukojoa nakusex+ kutokwa uchafu ukeni Lakini pia Wanawake wengi wanaweza wasionyeshe dalili
[emoji117] kuna uwezakano pia amepatwa na Ongezeko kubwa LA kuzaliana kwa bacteria yaaan Bacterial Vaginosis .
[emoji117] Lkn pia Anaweza akawa sio Msafi uko chini .
[emoji117] au Wenda anavaaa Chupi za kubanaaaaaaa na taiti zakubanaaaaaaa au bikini za nylon ,alafu najuu anavaa jinsi au nguo material ya nylon[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mwisho Jasho ukeni linatoka utadhani anafanya kazi kwenye Injin za meli tena zile meli zilizokua zinaendeshwa na Makaa ya mawe[emoji23] [emoji23] ,mwisho K inalowaaa jashoo muda wote sasa inatengeneza mazingira mazuri ya Bacteria hatari kumuingia nakufanya icho kinachokukera[emoji23] .

MATIBABU .
ikiwa anasumbuliwa nayo kww muda mrefu nalicha yakua msafi basi atakua na Gonjwa moja wapo ukeni mwake nakm Ni Trich basi ujue nyote wawili lazima mtibiwe
Ivyo nikuitaji kufika hospital kwaajili ya mkeo kufanyiwa Diagnosis ,ijulikane .

Kama hata maambukizi ,Basi mwambie aache Kupulizalia Uke pafyumu. Poda ,losheni ,,kuiosha na sabuni kali Kali ,, naww uache kumuingizia mavidole ovyo ovyo wakati nimachafu .

Namwisho aoshe Vagina yake na sabuni yakawaida ,maji safi ( YASIWE NA YAMOTO ,NAHAPA NDO WENGI MNAJIFANYAGA OOOHHHHHH SIWEZI OGA MAJI YA BARIDI ,MIMI NAOGA YA MOTO[emoji23] [emoji23] ) mbafu zenu ,maji yamoto+Sabuni Kali +chupi inabana+taiti ya nylon+suruali/kimin chakubana+aipulizie pafyumu KWANN ASINUKE ???? ALAFU NIMNENE??? [emoji23] [emoji23] .

OYA ISHINI MAISHA YA WAZEE WETU ,ACHENI MAUNGO YENU YAPUMUE ,MYAOSHE KWASABUNI NA MAJI SAFI NASALAMA,, MULE NDANI AJISAFISHE BILA MAKUCHA MAREFU , NAMWISHO ASIVAE NGUO BILA MAJI KUKAUKA,, AWE AMETOKA KUKOJOA , AU KUJISAIDIA ,AU KUOGA , MWAMBIE ATUMIE TAULO KUJIFUTA NA KUHAKIKISHA ANAJIVUTA KUNAKUA PAKAVU NDO AVAE +ANYWE MAJI ZAIDI ,, NA KUJIFUTA AJIFUTE KUTOKA MBELE KWENDA NYUMA ,,SIO NYUMA KUJA MBELE 'atajiongezea tatizo lingine".[emoji23]

Jion njema Mkuu.
Hili ni somo mkuu, nimelipenda sana!
 
Habari wapendwa,mke wangu amekuwa akitoa harufu mbaya sana sana ukeni hasa pale tunapokuwa tunafanya mambo yetu ,napenda mke wangu apone,siwez kumuacha kisa iyo sababu,naomba msaada kwa anayejua dawa yake
IMG_20180202_102403.jpg
mwambie atumie hyo dawa halafu akipona awe msafi ,avae chupi safi na asikae na pedi muda mrefu,pia acheki sabuni anayoogea isiwe kali
 
Mwanangu unazengua , nasijui kwann wanaume wengi hatupo responsible kwa wanawake Wetu ,nahata wanawake Wetu pia nao hawapo makini. Kila kitu tunachukulia rahisi.
So wee na mkeo wote wazenguaji.

Je ni ya muda mrefu??
Je Uke wake ni mwekundu zaid?
Anapata maumivu wakati wakusex?
Anapata kuvimba uke ?.
Anajisikia km alochubuka ukeni ??.

Niivi kutokana na Anatomical differences kati ya mwanamme na mwanamke ,,Mwanamke nikiumbe anayeweza kushambuliwa na magonjwa mengi na kwaurahisi.

Hivyo Mungu akaamua kuwawekea Walinzi yaan Bacteria nahawa sio bacteria wanaodhuru , kazi yao kubwa nikuhakikisha
[emoji117] wanapambana na Maadui
[emoji117] kuhakikisha wanakula nutrients na nakujaza nafasi ILI maadui watakapofika wanakuta hamna nafasi yawao kukaa na hamna chakula.

Sasa hawa bacteria +chemicals zilizopo ukeni , zikafanya uke Wa mwanamke kua na Harufu yakawaida , ambayo Mara nyingi niharufu ya mapenzmapenzi ,ukishainusa tuuu lazima ujue huyu kagegedwa au mbooo ikusimame ule mzigo !![emoji23] [emoji23] .

Sasa kwann Harufu Mbaya ???.

Kuna wakati mwanamke uke wake unakua na Harufu mbaya nanimuda mrefu , Hiii inatokea pale tu na pale tu ambapo
[emoji117] Mwanamke amepata maambukizi kwa njia ya Ngono yaan sexually transmitted infections ( STI's ).
Maambukizi haya yanaweza kua ni Trichomonal vaginitis ambayo Mara nyingi mwanamke anakua na maumivu kukojoa nakusex+ kutokwa uchafu ukeni Lakini pia Wanawake wengi wanaweza wasionyeshe dalili
[emoji117] kuna uwezakano pia amepatwa na Ongezeko kubwa LA kuzaliana kwa bacteria yaaan Bacterial Vaginosis .
[emoji117] Lkn pia Anaweza akawa sio Msafi uko chini .
[emoji117] au Wenda anavaaa Chupi za kubanaaaaaaa na taiti zakubanaaaaaaa au bikini za nylon ,alafu najuu anavaa jinsi au nguo material ya nylon[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mwisho Jasho ukeni linatoka utadhani anafanya kazi kwenye Injin za meli tena zile meli zilizokua zinaendeshwa na Makaa ya mawe[emoji23] [emoji23] ,mwisho K inalowaaa jashoo muda wote sasa inatengeneza mazingira mazuri ya Bacteria hatari kumuingia nakufanya icho kinachokukera[emoji23] .

MATIBABU .
ikiwa anasumbuliwa nayo kww muda mrefu nalicha yakua msafi basi atakua na Gonjwa moja wapo ukeni mwake nakm Ni Trich basi ujue nyote wawili lazima mtibiwe
Ivyo nikuitaji kufika hospital kwaajili ya mkeo kufanyiwa Diagnosis ,ijulikane .

Kama hata maambukizi ,Basi mwambie aache Kupulizalia Uke pafyumu. Poda ,losheni ,,kuiosha na sabuni kali Kali ,, naww uache kumuingizia mavidole ovyo ovyo wakati nimachafu .

Namwisho aoshe Vagina yake na sabuni yakawaida ,maji safi ( YASIWE NA YAMOTO ,NAHAPA NDO WENGI MNAJIFANYAGA OOOHHHHHH SIWEZI OGA MAJI YA BARIDI ,MIMI NAOGA YA MOTO[emoji23] [emoji23] ) mbafu zenu ,maji yamoto+Sabuni Kali +chupi inabana+taiti ya nylon+suruali/kimin chakubana+aipulizie pafyumu KWANN ASINUKE ???? ALAFU NIMNENE??? [emoji23] [emoji23] .

OYA ISHINI MAISHA YA WAZEE WETU ,ACHENI MAUNGO YENU YAPUMUE ,MYAOSHE KWASABUNI NA MAJI SAFI NASALAMA,, MULE NDANI AJISAFISHE BILA MAKUCHA MAREFU , NAMWISHO ASIVAE NGUO BILA MAJI KUKAUKA,, AWE AMETOKA KUKOJOA , AU KUJISAIDIA ,AU KUOGA , MWAMBIE ATUMIE TAULO KUJIFUTA NA KUHAKIKISHA ANAJIVUTA KUNAKUA PAKAVU NDO AVAE +ANYWE MAJI ZAIDI ,, NA KUJIFUTA AJIFUTE KUTOKA MBELE KWENDA NYUMA ,,SIO NYUMA KUJA MBELE 'atajiongezea tatizo lingine".[emoji23]

Jion njema Mkuu.
Umetisha
 
Back
Top Bottom