FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Chanjo za awamu ya kwanza hata nusu hazijatumika, halafu wanaenda kukopa tena dozi za chanjo milioni 2 kwa gharama bilioni 300, ni kwa lengo lipi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeachwa na wakati stuka Wewe pimbi wa chato gang..Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka usingizini.
Hii serikali ya awamu ya 6 inanishangaza sana, toka imeanza hadi sasa imekuwa ni Corona na Tozo mwanzo mwisho, yaani zaidi ya hivyo viwili hakuna kingine, kama si Corona basi ni Tozo. Huku Madelu anakamua Tozo, huku Gwajima ananunua chanjo, huku wanakamua Tozo, huku wananunua chanjo, baasi, hakuna lingine.
Tunaomba serikali itupe tumaini kwamba inajali maslahi ya wananchi, hata kama ni kwa kutudanganya tu, iachane na kelele za Corona, anaetaka kuchanjwa achanjwe lakini isiwe kwa kupiga promo kubwa hasa kupitia waziri, mnapofanya shinikizo kubwa mnatupa wasiwasi wananchi na kututisha kwamba Tozo zetu zilikuwa ni kwa lengo maalum tofauti na yale mliyoainisha kwamba ni malengo ya tozo.
Mi naogopa siku kuja kusikia Chanjo zimesababisha upotevu wa trillion 5 za fedha za Tozo, ufisadi wa namna hiyo unaweza ukasababisha wengine tunaopenda nchi tukapata magonjwa ya moyo na pressure, naogopa sana. Sina ushahidi wowote, ila ni hisia mbaya niliyoanayo kiasi napata strong connection kati ya timing ya Tozo na ununuzi wa chanjo za mikopo ya bei na masharti ‘nafuu’.
=================================
Update: 08/09/2021
Naona kumbe hizi Tozo zinaweza zikatumika kuulipa huu mkopo unaoenda kuteketezwa kununua chanjo hewa kwa matrillioni, inaumiza sana. Hizo pesa tunajenga flyover ngapi? Badala yake tunaenda kununua Johnson and Johnson
#COVID19 - IMF yaidhinisha mkopo wa Tsh Trilioni 1.2 kwa ajili ya Corona Tanzania
Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona. Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi Cha mkopo ambacho Tanzania imepata kwa mwezi huo na Hali ya Deni ipoje. Si busara kukaa kimya. Hadi...www.jamiiforums.com
===============================
Update: 27/09/2021
#COVID19 - Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...www.jamiiforums.com
👆🏽 Haya sasa, hapa ndio mjue kwanini watu tulikuwa tunapigia kelele hizo juhudi za madalali wa chanjo za kutuibia pesa kwa mgongo wa Corona, matokeo yake ndio hayo sasa, sasa kaeni kimya mnyolewe, pumbavu kabisa!
Mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango ingekuwa matumizi, sijui ingekuwaje. Tozo za mwezi Septemba mmepeleka wapi?Umeachwa na wakati stuka Wewe pimbi wa chato gang..
Soma hiyoo 👇
View attachment 1955538
View attachment 1955539
View attachment 1955540
View attachment 1955541
View attachment 1955542
View attachment 1955543
View attachment 1955544
View attachment 1955545
View attachment 1955546
View attachment 1955547
View attachment 1955548
View attachment 1955549
View attachment 1955550
View attachment 1955551
View attachment 1955552
View attachment 1955553
View attachment 1955554
View attachment 1955555
View attachment 1955556
View attachment 1955557
View attachment 1955558
View attachment 1955559
View attachment 1955560
View attachment 1955561
View attachment 1955562
Unaweweseka Sana Mr.Legacy,onyesha mpango hapo kwenye attachments..Mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango ingekuwa matumizi, sijui ingekuwaje. Tozo za mwezi Septemba mmepeleka wapi?
Tozo za mwezi August tuliambiwa kiasi hiki kimeeenda hapa na kiasi hiki kimeenda pale, za mwezi Septemba zimeenda wapi?Unaweweseka Sana Mr.Legacy,onyesha mpango hapo kwenye attachments..
Acha kuweweseka Mil.50 kila kijiji ilimshinda Magu mama katoa mil.500 kila Jimbo na kaongeza bajeti ya Tarura mara 3 Sasa mambo ni moto ujenzi wa lami kila sehemu kama hivi 👇
View attachment 1955653
View attachment 1955656
View attachment 1955657
View attachment 1955659
View attachment 1955660
View attachment 1955661
View attachment 1955662
Awamu ya 4 mbaazi ilkuwa tsh 2800/= kwa kg, Awamu ya 5 ikashusha mpaka Kg1 tshs. 200 Awamu ya 6 inaipandisha sasa 1200 per kg.Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali,
Usipingane na "wazungu ndiyo wanaotulisha" (in Lisu voice).
Upuuzi mtupu eti wanataka wapatiwe dola si watatuuza mazima kwa mabwana zao.
Kwa mtazamo huo bora tuendelee kusema Kidumu chama Mapinduzi! Zidumu fikra za Haya JK Nyerere, Zidumu fikra za Hayati JPM...
Ila pia tungependa kujua, Tozo za Septemba zimeenda wapi? Maana za August tumeambiwa kiasi hiki kimeenda pale na kiasi hiki kimeenda pale, Tozo za Septemba vipi?Interesting.
Una ushauri gani kwa serikali inapodai tuna hela zetu wenyewe za kujenga miradi mikubwa kama SGR na ununuzi wa ndege kwa cash HALAFU hapo hapo inapokea na kushukuru misaada kama ya kujengewa matundu ya choo mashuleni toka kwa wazungu?
Tozo za August tulitangaziwa zilienda wapi , hizi za mwezi Septemba zimeenda wapi?!Kuupiga mwingi
Na ninachojiuliza, chanjo milioni 1 za mwanzo hazijatumika hata nusu, wameenda kukopa chanjo dozi milioni 2, ili iweje?, tena zisizotambulika hata huko Hijja? Tena huo mkopo tutaulipa kwa maumivu makali ya tozo!Hata Mimi nilikuwa simsapoti Sana jiwe Ila mama simwelewi.
Maana naona mwendazake amemwachia daraja la kigongo busisi, bwawa la umeme la jk nyerere, SGR, n.k.... ndio naona tbc kila siku, yakwake siyaoni.
Awamu watapata taabu Sana.