#COVID19 Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

#COVID19 Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

kushindwa kuzibithi Wezi wa vifaa vya magari
Na wamekopa chanjo dozi milioni 2 zenye thamani ya bilioni 300 toka China za nini wakati zilizopo za JJ hata nusu hazijatumika, why?
 
Samia amerudisha biashara kati ya Kenya na Tz ambapo Tz ilikuwa imepigwa ban kuuza mazao
Uwekezaji nchini umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 400 nadhani muda si mrefu matunda yake tuyaona kwa uchumi wetu ku bounce tena

Pia kaondoa maharamia kama akina Sabaya na Mwakabibi Serikalini na kesi kadhaa za kubambikiza kufutwa

Kero ya machinga imepungua kwa kiasi maana wlikuwa wakiuza hadi nyanya na mchicha stendi

Changamoto bado nyingi ila ni nafuu kuliko Magufuli
 
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka usingizini.

Hii serikali ya awamu ya 6 inanishangaza sana, toka imeanza hadi sasa imekuwa ni Corona na Tozo mwanzo mwisho, yaani zaidi ya hivyo viwili hakuna kingine, kama si Corona basi ni Tozo. Huku Madelu anakamua Tozo, huku Gwajima ananunua chanjo, huku wanakamua Tozo, huku wananunua chanjo, baasi, hakuna lingine.

Tunaomba serikali itupe tumaini kwamba inajali maslahi ya wananchi, hata kama ni kwa kutudanganya tu, iachane na kelele za Corona, anaetaka kuchanjwa achanjwe lakini isiwe kwa kupiga promo kubwa hasa kupitia waziri, mnapofanya shinikizo kubwa mnatupa wasiwasi wananchi na kututisha kwamba Tozo zetu zilikuwa ni kwa lengo maalum tofauti na yale mliyoainisha kwamba ni malengo ya tozo.

Mi naogopa siku kuja kusikia Chanjo zimesababisha upotevu wa trillion 5 za fedha za Tozo, ufisadi wa namna hiyo unaweza ukasababisha wengine tunaopenda nchi tukapata magonjwa ya moyo na pressure, naogopa sana. Sina ushahidi wowote, ila ni hisia mbaya niliyoanayo kiasi napata strong connection kati ya timing ya Tozo na ununuzi wa chanjo za mikopo ya bei na masharti ‘nafuu’.

=================================

Update: 08/09/2021
Naona kumbe hizi Tozo zinaweza zikatumika kuulipa huu mkopo unaoenda kuteketezwa kununua chanjo hewa kwa matrillioni, inaumiza sana. Hizo pesa tunajenga flyover ngapi? Badala yake tunaenda kununua Johnson and Johnson

===============================
Update: 27/09/2021

[emoji1426] Haya sasa, hapa ndio mjue kwanini watu tulikuwa tunapigia kelele hizo juhudi za madalali wa chanjo za kutuibia pesa kwa mgongo wa Corona, matokeo yake ndio hayo sasa, sasa kaeni kimya mnyolewe, pumbavu kabisa!
Chanjo zintolewa free, hiyo bilioni 300 umeitoa wapi?
 
Samia amerudisha biashara kati ya Kenya na Tz ambapo Tz ilikuwa imepigwa ban kuuza mazao
Uwekezaji nchini umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 400 nadhani muda si mrefu matunda yake tuyaona kwa uchumi wetu ku bounce tena

Pia kaondoa maharamia kama akina Sabaya na Mwakabibi Serikalini na kesi kadhaa za kubambikiza kufutwa

Kero ya machinga imepungua kwa kiasi maana wlikuwa wakiuza hadi nyanya na mchicha stendi

Changamoto bado nyingi ila ni nafuu kuliko Magufuli
Sasa ninachojiuliza, wameenda kukopa dozi milioni 2 za chanjo ya Corona kwa bilioni 300 nasikia toka kwa waChina, za nini wakati zile za JJ hata nusu hazijatumika? Lengo ni nini? Ukizingatia hiyo pesa ingetosha kujenga Flyover Morocco na Tazara?
 
Chanjo zintolewa free, hiyo bilioni 300 umeitoa wapi?
Serikali ilipokea mkopo wa Trillioni 1.2, sasa huo mkopo unatumika vipi? Ni pamoja na dozi milioni 2 za chanjo toka China, unajua gharama za hizo dozi milioni 2?! Au China wanatupa hizo dozi milioni 2 bure?!
 
Kutufukuza machinga katikati ya mji, naona ni suala linaugwa mkono na watu wengi hata humu JF 🐒
 
Serikali ilipokea mkopo wa Trillioni 1.2, sasa huo mkopo unatumika vipi? Ni pamoja na dozi milioni 2 za chanjo toka China, unajua gharama za hizo dozi milioni 2?! Au China wanatupa hizo dozi milioni 2 bure?!
Mimi nataka unionyeshe hiyo habari ya serikali kutumia bilioni 300 kuagiza chanjo, hiyo link uliyoweka habari haisemi hivyo

Chanjo ni free
 
Mimi nataka unionyeshe hiyo habari ya serikali kutumia bilioni 300 kuagiza chanjo, hiyo link uliyoweka habari haisemi hivyo

Chanjo ni free
Chanjo ni free ndio kwa wewe raia ukitaka kuchoma, ila je, China wametupa dozi milioni 2 Tanzania bure? Chanjo moja bei yake si iinafahamika? Na hiyo chanjo ni ya kuchoma mara 2, kwahiyo fanya mara 2 kisha fanya mara milioni 2, au kichwa unafugia nywele tu?!
 
Update: 08/09/2021
Naona kumbe hizi Tozo zinaweza zikatumika kuulipa huu mkopo unaoenda kuteketezwa kununua chanjo hewa kwa matrillioni, inaumiza sana. Hizo pesa tunajenga flyover ngapi? Badala yake tunaenda kununua Johnson and Johnson

Mpaka awamu ya 6 inafika ukingoni, kila mzaliwa wa nchi atakuwa ni mtumwa kwa madeni ya taifa na asijue wala kuona kilicho fanywa na hiyo mikopo.
 
Badala ya kuhangaika kulipa mikopo ya chanjo, tungekamilisha hii miradi kwanza
 
Kumfanya Samia kuwa mfalme mpya wa jamuhuri ya watu wa Hangaya
Ila nimeshangaa sana, ni kwanini tumeenda kukopa Chanjo dozi milioni 2 , mkopo ambao tutaulipa kwa maumivu makali kupitia tozo, wakati chanjo milioni moja za awali hata nusu hazijatumika, huu ni utaahira wa wapi?
 
Dar - Dodoma
Dodoma - Dar

Yaani ni kuzurura kwa kwenda mbeeeree
 
Back
Top Bottom