#COVID19 Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

Chanjo za awamu ya kwanza hata nusu hazijatumika, halafu wanaenda kukopa tena dozi za chanjo milioni 2 kwa gharama bilioni 300, ni kwa lengo lipi?!
 
Umeachwa na wakati stuka Wewe pimbi wa chato gang..

Soma hiyoo 👇

















































 
Usipingane na "wazungu ndiyo wanaotulisha" (in Lisu voice).
Upuuzi mtupu eti wanataka wapatiwe dola si watatuuza mazima kwa mabwana zao.
Kwa mtazamo huo bora tuendelee kusema Kidumu chama Mapinduzi! Zidumu fikra za Haya JK Nyerere, Zidumu fikra za Hayati JPM...
 
Mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango, mipango ingekuwa matumizi, sijui ingekuwaje. Tozo za mwezi Septemba mmepeleka wapi?
Unaweweseka Sana Mr.Legacy,onyesha mpango hapo kwenye attachments..

Acha kuweweseka Mil.50 kila kijiji ilimshinda Magu mama katoa mil.500 kila Jimbo na kaongeza bajeti ya Tarura mara 3 Sasa mambo ni moto ujenzi wa lami kila sehemu kama hivi 👇













 
Tozo za mwezi August tuliambiwa kiasi hiki kimeeenda hapa na kiasi hiki kimeenda pale, za mwezi Septemba zimeenda wapi?
 
Shida yenu mtu asimame majukwaani na kufokea fokea na kutishia watu. Mitano tena kwa mama.
 
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali,
Awamu ya 4 mbaazi ilkuwa tsh 2800/= kwa kg, Awamu ya 5 ikashusha mpaka Kg1 tshs. 200 Awamu ya 6 inaipandisha sasa 1200 per kg.

Awamu ya 6 pamba kununuliwa kwa cash bila kutumia wanajeshi.

Bei ya dengu, ufuta mbaazi choroko imepanda baada ya aliyekuwa akinunua kushawishiwa kurudi baada ya kuikimbia awamu ya 5 wakulima wote tunafuraha.

Ajira zimeanza na waliofukuzwa kazi wamerudi.

Awamu ya 5 walidai wafanyakazi hewa kibao. Hakuna mtumishi aliyekamatwa kwa kula mshahara wa wafanyakazi hewa. Ilikuwa maigizo fulani.Awamu ya 6 hakuna Ahadi za kuzuga kama za laptop kwa walimu na 50m kila kijiji. Madame Samia akiongea na vitenda vinafuata bila camera kila mahali. Mpaka sasa sijaona camera tv akienda au akitoka kuswali.

Awamu ya 5 camera mpaka kanisani kila j2.

FlyOver sio chakula bro zimejejengwa DAR tu na Chato viwanja na pundamilia kuprlekwa huko burigi.

Ulizoea bling bling ma tv na camera one man show hapa kazi tu. Ajabu kule chato tv na camera laivu za airport na bank zilikuwa adimu sana.

Hiyo SGR N.K ZZZZni ka zi za serikal8 za kawaida ndio masma umeme upo yupo aliyekenga mabwawa 3 mtera na kidatu na pangani ma kihansi bila kufukuza watu kazi au kusimamisha mishshara isipande miaka 5.

Hayo kwa uchache.
 

Interesting.

Una ushauri gani kwa serikali inapodai tuna hela zetu wenyewe za kujenga miradi mikubwa kama SGR na ununuzi wa ndege kwa cash HALAFU hapo hapo inapokea na kushukuru misaada kama ya kujengewa matundu ya choo mashuleni toka kwa wazungu?
 
Interesting.

Una ushauri gani kwa serikali inapodai tuna hela zetu wenyewe za kujenga miradi mikubwa kama SGR na ununuzi wa ndege kwa cash HALAFU hapo hapo inapokea na kushukuru misaada kama ya kujengewa matundu ya choo mashuleni toka kwa wazungu?
Ila pia tungependa kujua, Tozo za Septemba zimeenda wapi? Maana za August tumeambiwa kiasi hiki kimeenda pale na kiasi hiki kimeenda pale, Tozo za Septemba vipi?
 
Dozi tulizokopa awamu ya kwanza hazijatumika hata nusu, tunakopa tena dozi milioni 2 tunaenda kuchoma ng’ombe au?
 
 
Hata Mimi nilikuwa simsapoti Sana jiwe Ila mama simwelewi.

Maana naona mwendazake amemwachia daraja la kigongo busisi, bwawa la umeme la jk nyerere, SGR, n.k.... ndio naona tbc kila siku, yakwake siyaoni.

Awamu watapata taabu Sana.
 
Hata Mimi nilikuwa simsapoti Sana jiwe Ila mama simwelewi.

Maana naona mwendazake amemwachia daraja la kigongo busisi, bwawa la umeme la jk nyerere, SGR, n.k.... ndio naona tbc kila siku, yakwake siyaoni.

Awamu watapata taabu Sana.
Na ninachojiuliza, chanjo milioni 1 za mwanzo hazijatumika hata nusu, wameenda kukopa chanjo dozi milioni 2, ili iweje?, tena zisizotambulika hata huko Hijja? Tena huo mkopo tutaulipa kwa maumivu makali ya tozo!
 
Reactions: rr4
Chanjo milioni moja za JJ hata nusu hazikutumika, sasa tumeenda kukopa dozi milioni mbili toka china kwa bilioni 300 ili iweje?
 
kushindwa kuzibithi Wezi wa vifaa vya magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…