#COVID19 Ukiacha Chanjo za Corona, kuna kitu gani cha maana kilichofanywa na Serikali ya awamu ya 6?

Bila unafiki wala husda hakika serekali ya rais samia imetengeneza barabara ambayo hatukuwahi kudhania kama itakuja kutengenezwa waulizeni watu wa kisukuru na makoka
 
Kumkamata na kumshitaki gaidi Mbowe. Haya ndio mafanikio wanayotamba nayo hadi 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…