mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Kuna mikoa sungusungu wanaanza doria saa tatu,ukizubaa unakamatwa na kuulizwa eti unatoka wapi usiku huu ,saa tatu ni usiku??
Mnalala sana mikoani