Ukiacha Dar es Salaam, mikoa iliyobaki ujanja wao ni mchana tu, ikifika saa tatu usiku kila mtu yupo kwake

Sasa mtalalaje mapema na foleni yote ile mpaka saa nne za usiku mtu yupo kwenye daladala anaenda kwake, kazini katoka saa kumi jioni na akifika nyumbani mpaka amelala ni saa sita usiku halafu saa kumi asubuh tena yupo kwenye dalala anaenda kazini.
Ndiyo maana wakazi wa dar wengi wanalala kwenye madaladala kama unabisha kesho panda daladala saa kumi na moja asubuh then angalia asilimia ngapi ya abiria wapo macho kama sio wote wameuchapa.
 
Sasa mtalalaje mapema na foleni yote ile mpaka saa nne za usiku mtu yupo kwenye dalala anaenda kwake, kazini katoka saa kumi jioni na akifika nyumbani mpaka amelala ni saa sita usiku halafu saa kumi asubuh tena yupo kwenye dalala anaenda kazini.
Ndiyo maana wakazi wa dar wengi wanalala kwenye madaladala kama unabisha kesho panda daladala saa kumi na moja asubuh then angalia asilimia ngapi ya abiria wapo macho kama sio wote wameuchapa.
Umetujumuisha kwenye orodha ya manamba wana Daslam huwa tunaamka saa 4 Asubuhi kwa ajili ya supu tunarudi kulala.
 
Mkoani watu hawachakariki sana ndio maana matajiri wachache wanajulikana mkoa mzima na masikini ni wengi sana.
Mikoani shughuli nyingi si za biashara ndio maana centres za transit kama kahama au morogoro zinachangamka hadi usiku. Sasa pigia picha dar, mabalo ya mitumba, mboga mboga, samaki ferry, movement za mizigo ya bandari, black market, shughuli za ulinzi kwenye maofisi na majumba lakini pia wengine wengi wa ajira zisizo na urasmi wala ratiba etc

Shughuli nyingi kama hizi zinawalazimu watu waamke mapema na kufanya mji uwe kama na shift.

Sasa mikoani watu ni wachache, mikoa mingi inaendeshwa na shughuli za mchana kama kilimo, hakuna foleni, biashara za kuhesabika, middle income class ya wafanyakazi si ajabu ni ndogo sana kuchangamsha starehe..

Sasa kuna sababu gani ya watu kukesha usiku kama hustles au lifestyles zao haziwaruhusu
 
Kwamba kukesha ndio ujanja, hakuna mtu asiependa kutulizana usiku ila kwakuwa imebidi tu
Mtu anaamka saa 10 alfajiri analala saa 7 usiku sio kwa kupenda
Unakaaje Kerege halafu mishe zako kariakoo? hawa ndio watu wanahotaji semina elekezi.

Yani unaona umemkomowa mwenye nyumba umeamia kwako kumbe ndio umejiongezea matatizo matupu.
 
Mikoani shughuli nyingi si za biashara ndio maana centres za transit kama kahama au morogoro zinachangamka hadi usiku. Sasa pigia picha dar, mabalo ya mitumba, mboga mboga, samaki ferry, movement za mizigo ya bandari, black market, shughuli za ulinzi kwenye maofisi na majumba lakini pia wengine wengi wa ajira zisizo na urasmi wala ratiba etc

Shughuli nyingi kama hizi zinawalazimu watu waamke mapema na kufanya mji uwe kama na shift.

Sasa mikoani watu ni wachache, mikoa mingi inaendeshwa na shughuli za mchana kama kilimo, hakuna foleni, biashara za kuhesabika, middle income class ya wafanyakazi si ajabu ni ndogo sana kuchangamsha starehe..

Sasa kuna sababu gani ya watu kukesha usiku kama hustles au lifestyles zao haziwaruhusu
Umedadavua vyema
 
uzi za dar zina viwer kwer kwer oya nyie wa bongo njon huku kwa mandela mjionee miji sio mnakazgna kujirundika huko kamji kenyewe kananuka nilishangaa sana siku natoka chicago natua dar kwa mara ya kwenza nikasema dah huku siji tena kwakwer kama tz ndio mji wenu mkuu ni dar mjitasmin sana hamnakitu hapo mji wa vichaa
 
Kufupisha mikoani mzunguko wa pesa mdogo sana ukilinganisha na Dar.
 
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.

Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.

Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.

Mnalala sana mikoani
😂😂😂😂Apa unataka kusemaje
 
uzi za dar zina viwer kwer kwer oya nyie wa bongo njon huku kwa mandela mjionee miji sio mnakazgna kujirundika huko kamji kenyewe kananuka nilishangaa sana siku natoka chicago natua dar kwa mara ya kwenza nikasema dah huku siji tena kwakwer kama tz ndio mji wenu mkuu ni dar mjitasmin sana hamnakitu hapo mji wa vichaa
Kwahiyo ndio kusema wewe ni Mmarekani born in Chicago au siyo?
 
Back
Top Bottom