Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulikuwa muwindaji piaJuzi kati nilikesha pale buguruni chama, yaani mpaka asubuhi hauoni tofauti yoyote zaidi ya kwamba usiku wanazidi makahaba na wawinda makahaba.
Lakini pilika pilika zingine zote ziko sawa na mchana
Umewahi kufika hayo maeneo?dar ukitoka nje ya mji kidogo tu mfn kitunda,chanika ,majohe hakuna cha maana
Hata mashoga wengi, wasagaji na machawa wanapatikana dar, kule wapo comfortable na wanafanya kila namna kuonyesha na kuhalalisha ujinga wao huku wakiupa promo ili waonekane wapo sawa tu, in short dar ni mji wa sodomaMikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Mnalala sana mikoani
1. Asilimia 85 ya wakazi wa Dar hawajawahi kufika hayo maeneo pichani. Au kama wamefika ni ile kupita njia.Wale wa mikoani....
Picha zinaongea zenyewe
View attachment 3138671
View attachment 3138674
View attachment 3138676
View attachment 3138677
Wale wa mikoani....
Picha zinaongea zenyewe
View attachment 3138671
View attachment 3138674
View attachment 3138676
View attachment 3138677
Sema nini, helaAisee ila jamii forum kuna matapeli wengi sana..mtu.wa.simiyu.akiona hayo mapicha anaweza kuuza ng'ombe zake aje huko kumbe ni wizi.mtu hakuna la maana watu.wanaishi.maisha ya taabu kama watumwa
Shukrani mkuu 🙏🏽Umedadavua vyema
Yeah mkuu japo pia population density ya Dar inachangia huo mzunguko kuwa mkubwa kwa sababu dhidi watu wanavyoongezeka ndivyo mahitaji ya bidhaa yanaongezeka kiasi cha kuongeza mzunguko wa pesa. Kwa hiyo sio laamba kuna uspesho wa watu wa dar ila tu population inapelekea hiyo haliKufupisha mikoani mzunguko wa pesa mdogo sana ukilinganisha na Dar.
Manamba wa Dar mna madharau sana hasa tarehe za.mshaharaSema nini, hela
Kama huna inakuwa sizitaki mbichi hizi
Maduka karibu nusu ya Kariakoo yanaendeshwa na wajanja waliokimbia maporini....
Sasa daslam utalalaje na joto lote hili? hata kama huna la kufanya inakubidi uamke tu
Kwa hiyo hapa dar ndio Kuna matajiri wengi na maskini wachache?Mkoani watu hawachakariki sana ndio maana matajiri wachache wanajulikana mkoa mzima na masikini ni wengi sana.
Ndio tatizo la kukaa maporini, unakuwa gubu na kila kituManamba wa Dar mna madharau sana hasa tarehe za.mshahara
Sio kweli ikishafika 8 kwenda 9 watu wanapungua kwa 50% hata movement zinapingua kwa karibu 60%Juzi kati nilikesha pale buguruni chama, yaani mpaka asubuhi hauoni tofauti yoyote zaidi ya kwamba usiku wanazidi makahaba na wawinda makahaba.
Lakini pilika pilika zingine zote ziko sawa na mchana