Wapi? Tusidanganyane na kutiana moyoKuna maisha mengi na mazuri nje ya daslam
Huko nako ni Dar?dar ukitoka nje ya mji kidogo tu mfn kitunda,chanika ,majohe hakuna cha maana
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Mnalala sana mikoani
Dar vijijiniHuko nako ni Dar?
Pale Sewa bar buguruni sokon sikupata ukimwi sipati tena.Juzi kati nilikesha pale buguruni chama, yaani mpaka asubuhi hauoni tofauti yoyote zaidi ya kwamba usiku wanazidi makahaba na wawinda makahaba.
Lakini pilika pilika zingine zote ziko sawa na mchana
SahihiDar vijijini
Mkoani watu hawachakariki sana ndio maana matajiri wachache wanajulikana mkoa mzima na masikini ni wengi sana.Napenda maisha ya mkoani yalivyo na utulivu bila usumbufu usiokuwa na sababu.. Good life
Sasa dar kamji kieneo kadogo Ila watu wanafukuzia milioni sita. Kwa nini kusiwe na mahangaiko
Mimi ndio nataka kutoka hapa niingie kitaa.Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote.
Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke
Saa saba usiku wauza chipsi bado wanamenya viazi.
Juzi kuna mtuhumiwa kampiga na kitako cha bastola mwenzake saa 12 asubuhi wakiwa kwenye club ya usiku.
Mnalala sana mikoani
au sio, ngoja niongeze bidii ya kutafuta hela ninunue feni inipulizie jotoTafuta hela bro Dar hakuna joto,kazi ya feni au AC ni nini?