Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Moshi kuna chimbo gani,hugoz parking vumbi tupu,amuz napo utafikiria garage vumbi tupu,kipindi ya mvua tope...moshi kuna bar za kuhudumia wanavyuo over
 
😂😂
Yaani,ukiona tu bar za Dar mtu anajitia kukujua Sana stuka,,kanusa ankara huyo
Ujanja ujanja mwingi ukienda na dem baa ukiwa Dar customer care utaondoka mwenyewe, yan waudumu wana wivu balaa
 
Fika Morogoro
Hapo Ndiyo Jiwe Alisema Kulala Katikati Kuna Raha Yake
Unapata Ya Dar Es Salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Ndugu Zangu Waluguru
 
Bata la sehemu yoyote uwe na noti. Ndo utaonyeshwa machimbo. Arusha man ukiwa na noti kama upo New York marekani. Mnajichanganya na maraia wa kila mahali duniani
 
Jamani imeongea ukweli Nairobi kuna starehe sana usipokuwa makini unaweza ukarudi hauna hata senti. Kuna club kuingia lazima uwe 27 yrs and above niliyoyakuta huko. Aisee nashukuru Mungu nilienda dakika za mwisho kabla sijarudi Tanzania.
 
Ulikuta nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…