Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

Unaongelea wapi sasa na wewe unabubujika maneno hutaji hata location zako ni za mkoa gani huo? [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Ntaenda nairobi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nairobi kuna starehe sana na customer care iko vizuri sana. Kuna club 24 hrs zipo wazi ukiingia unapoteza "track of time". Club kama "Sixtyfour" unaweza ukaingia jioni ukatoka keshokutwa mchana acha aisee. Huo mji ni rahisi kuingiza hela na ni rahisi kupoteza hela. Ukiangalia shilingi ya kenya ipo juu kuliko ya Tanzania. Usijaribu kutumia mihadarati piga bia tu maana kuna mademu wanaweza kukuwekea madawa. Ni vizuri kwenda na mgeni na ukitaka u-enjoy usinywe mpaka ulewe chakari. Kunwya ki aste aste ukisikia vimepanda agiza choma πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .Nairobi its the only city where your money gives you a superb experience. Good luck with your endevour .
 
Ka
Nimeamini Ile habari kwamba Watanzania wengi Wana shida za afya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…